DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwanini wasichunguze na kifo cha Lawrence Mafuru?
 
Magufuli hakuwa na ulinzi tena wa jeshi kabisa sasa yuko wapi? Mnapenda sana conspiracy theories.
Magufuli alikuwa na maadui wagapi na wenye uwezo kiasi gani, kiuchumi, kiitelenjesia, kimamlaka?
Je upande wa Faustine kwa haraka haraka maadui zake ni akinani je kiuwezo wakoje?
 
Kwani waliwahi kuwa na ugomvi na yeyote hata uwe na mashaka?
 
U
Jaribu kufikiri sawasawa unasema serikali ichunguze vifo vya watu muhimu, ivi ni nani nchi hii sio wa muhimu ?
 
Nimekusamehe
Kwa hiyo unawakwaza watu kwa makusudi halafu unawasamehe tena uliowakwaza badala ya wao kukusamehe wewe.
Hivi ni kweli hujui kwamba unaumiza mioyo ya watu kwa mada zako sijui za uchunguzi wa kifo, mara ccm imeshinda kihalali wakati sote tunajua wizi uliotumika. Hivi unadhani watanzania wapumbavu hivyo?

Mbona umeamua kuwa upande wa watesi. Hujui hata Mungu unamuudhi?.

Pole yako Luka lakini jisahihishe ndugu yangu. Naona una dalili za kumwabudu Mungu. Lakini nakuhakikishia kwamba si rahisi kwa mwana ccm kumwona Mungu wa mbinguni kutokana na uchafu, wizi wa kura nk... Ukitaka kwenda motoni kirahisi, baki hapo hapo. Endeleeni kuiba kura na uchaguzi ukiisha nendeni kwa Mungu mkatubu kama alivyosema Nape maana Mungu ni shangazi yenu.
 

We mpumbavuu huu uropokaji siku si nyingi utakugharinu
 
Una bipolar disorder brother ! Yani una psychiatric disorder!
 
Waachieni akina Soka na wenzake kwanza
 
Ni kweli hawezi kurudo lakini inaweza kutupatia maarifa na nini cha kufanya pale unapogundua kuwa kuna mkono wa mtu.
Serikali imechunguza kifo Cha Mzee Kibao? Je unajua kwamba Mwenyekiti wa Ccm taifa na Rais alishasema kifo ni kifo tu na hatupaswi kutoa umuhimu na kushangaa! Mbona unakinzana na wale unawaosifia hata wakinywa damu za watu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…