Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Ukumbuke kumkanya dada ako Aachen kupanua miguu ovyo. Utamu wake unawaletea shida nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akiwa ICU anakuwa mbali na mamaMtoto na mama wanalala vitanda tofauti?
Kuna member hapo Jana alisema zile ni hospital za wakorea mkuuMuhimbili National Hospital.
Naomba utufafanulie huo uprivate wake upoje mkuu? Nani mmiliki? au ndo Hospitali za Mama kama inavyojulikana kuwa HAZINA ni yake binafsi ndo maana kila waziri anamshukuru kwa pesa za Bajeti anazowapatia
Hauko seriousHuyo "mtanikumbuka" wako ndiye muasisi wa hayo yote.
Kama wa kukumbukwa labda Kikwete.
Ongezea ni zaidi ya 85%,watoto wa mjini wanaiita ile ni mochwari.Ukiona umepewa transfer kutoka muhimbili kwenda Mloganzila ujue uwezekano wa kufa ni zaidi ya 60%
Wako busy na Taifa Stars, simba na yanga maana huko ndio wanakowapata wajinga wengi wa kuwapigia kura warudi madarakani...malalamiko juu ya mloganzila hosp yalishajadiliwa sana humu jamvini.