DOKEZO Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

DOKEZO Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukumbuke kumkanya dada ako Aachen kupanua miguu ovyo. Utamu wake unawaletea shida nyie
 
Muhimbili National Hospital.

Naomba utufafanulie huo uprivate wake upoje mkuu? Nani mmiliki? au ndo Hospitali za Mama kama inavyojulikana kuwa HAZINA ni yake binafsi ndo maana kila waziri anamshukuru kwa pesa za Bajeti anazowapatia
Kuna member hapo Jana alisema zile ni hospital za wakorea mkuu

Gharama ya kitanda Kwa 100k ukiwa kcmc unaongeza 40k tu inakuwa 140k unapewa VIP Room msosi utakao huduma za ki boss! Binafisi hizi hospital za ccm hazijari kabisa hasa kwenye customer care weee unaweza ukajibiwa jibu Hadi wewe uliyeenda kuona mgonjwa ukaugua. Hii imeanza tu kwenye utawala wa mama kipindi Cha JPM mambo hayakuwa Hivi.
 
Msichokijua ni.kwamba Rais anasisitiza mapatokwenye kila sekta ili ziweze kujiendesha na kupeleka gawio serikalini, wafawidhi hukutana kwenye vikao na kusisitizwa kuhusu ukusanyaji wa mapato, wale wenye takwimu duni huonekana kama wanalege lega kwenye usimamizi.

Hata huduma ambazo zinatakuwq zuwe bure kabisa kama za uzazi bado kuna upigaji humo.

Hiyo serikali mnayotaka imulike hili swala ndio chanzo na sio hao madaktari.
 
20241122_162806.jpg
 
Back
Top Bottom