Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Kazi yake nini..?Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara
Inaendelea mkuu wanadai vinaamsha mihemko kwa wanawakeKazi yake nini..?
Kwamba upo single?Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara
Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi utamu Ni biashara nzuri Sana inalipa Sana mikoa ya
Point muhimu huna mtu.Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara
Hawakupata mkuuEhee, vipi wenzako nao walipata mihemko au nao wanajihisi Kama ulivyojihisi wewe
Me sitaki mihemko nilioko nayo inanitoshausiogope bana havipungzi nguvu za kike.
ila kama kuna mdada anataka apate hamu anicheki nimpe siri ya kitu cha asili kabisa na no side effects.
Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara
Naomba serikali iangalie wanaume watakufa Sana tusipokuwa making
Na hyo sukari hapo wataalamu watuambie Ni ya Nini??
View attachment 1837729
Mimi sio daktari mkuu .kama mtu Hana hamu akamuone doktaMimi nimependa tu hiki toka kwako: "mimi sipendi kufanya biashara inayohusu afya ya mtu"
Hawakupata ila walishughulikiwa hadi wamekomaEhee, vipi wenzako nao walipata mihemko au nao wanajihisi Kama ulivyojihisi wewe
Unataka vipipi au??Miss ungeweka na namba zako tafadhali
Vumbi la Congo la kike etiWanawake mmeanza kuhangaika kutafuta vinogesha chezo