Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

Kwenye status ya demu mmoja hiv ni mshikaji wangu yupo Arusha nikawa naona vipipi utamu vipipi utamu, sielewi be wala che. Hiyo siku nikamuuliza ni vitu gani hivyo, sheee! Nilibaki kinywa wazi.

Akanitumia na screenshot za wanawake aliowauzia namna vilivyofanya kazi na wanavyovisifia! Dunia haeshi maajabu
Upuuzi mtupu
 
Kuna siku nipo K/koo kapita mdada anaviuza, basi wadada wanaovijua wakavishambulia kama wananunua nyama vile...Nikaomba shule palepale kwa wale wanunuzi.

Huwa naomba vitu vingine vinipite tu...nibaki na ujima wangu.
 
Inaendelea mkuu wanadai vinaamsha mihemko kwa wanawake
Wanadai nini wewe!! Si unywe tu halafu nije kukufanyia majaribio ili uwe na ushahidi ulio jitosheleza! Hofu iko wapi kwa upande wako kujaribu?
 
Wanadai nini wewe!! Si unywe tu halafu nije kukufanyia majaribio ili uwe na ushahidi ulio jitosheleza! Hofu iko wapi kwa upande wako kujaribu?
Nimenunua mfuko mzima nimekula Sana sisikii chochote mkuu
Labda nishakuwa sugu wa mihemko
IMG_20210702_123209_0.jpg
 
...Samahani sijaelewa kidogo hapo Miss. Kama mwanamke anapata mihemko kutokana na hivyo vipipi, mbona tena mwanaume anakaa sana hadi kuwa hatarini kupandisha presha Miss??
Ndo sijaelewa mkuu why effect inaenda kwa mwanaume
 
Unajua nlikuwa najihisi kuwa mkavu, so nikajaribu nikitegemea nipate maji ya kihaya...wapi sikuona tofauti yoyote
Ukitaka kulowana chukua bamia kata ndogo ndoogo loweka kwa maji ya kunywa
Usiku kucha
Then chuja
Au tengeneza smooth la bamia mbichi na ndizi Kila siku kunywa
Siku mbili tu utalowana hadi uvae pedi
 
Back
Top Bottom