Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

Kwenye status ya demu mmoja hiv ni mshikaji wangu yupo Arusha nikawa naona vipipi utamu vipipi utamu, sielewi be wala che. Hiyo siku nikamuuliza ni vitu gani hivyo, sheee! Nilibaki kinywa wazi.

Akanitumia na screenshot za wanawake aliowauzia namna vilivyofanya kazi na wanavyovisifia! Dunia haeshi maajabu
 
Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali.

Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara.

Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi utamu Ni biashara nzuri Sana inalipa Sana mikoa ya Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza na Mara.

Ehee nikamuuliza inakuaje. Kipakti cha pipi utamu kama hiki.

View attachment 1837719
Unanua tu elfu tatu ziko pipi kibaoo hata elfu moja. Ukija bara unapaki pipi tano hadi elfu 20 unauza
Eti zinamsaidia mwanamke kuongeza hamu ya tendo la ndoa. Basi Mimi nikanunua ila sipendi kufanya biashara inayohusu afya ya mtu. Nilivofika bara nikagawa kwa marafiki zangu kadhaa ili nijue vinafanyeje kazi ?? Maana Mimi sina mtu japo nilitumia sikujisikia kitu nikadhani labda nishakuwa hanisi

Basi wale wanawake majibu walonipa kwa muda tofauti yanafanana wanadai hawakujisikia kitu sema walivolala na waume zao wanaume walikaa Sana na waliumia Sana cha Moto walikiona na mmoja mume alipata hadi pressure kidogo afe

Bado Niko kwenye utafiti na vipipi ninavo. Naomba serikali iangalie wanaume watakufa Sana tusipokuwa makini maana vinauzwa Sana Sana nchini wanawake wengi hasa wanaujiuza wanatumia sana
Na hyo sukari hapo wataalamu watuambie Ni ya Nini??
Serikali inamambo mengi haiwez deal na non sense Kama hz
 
Wanaume vumbi la kongo = Wanawake vipipi
Hapo ngoma droooooh
 
Usiogope bana havipungzi nguvu za kike.

Ila kama kuna mdada anataka apate hamu anicheki nimpe siri ya kitu cha asili kabisa na no side effects.
Mkuu Unaelewa maana ya side effects,?hata ubwabwa au ugali unaside effects ijekuwa hayo unayoyasema wewe?
 
Ndo mana watu wamekazana kusema wanaume wana vibamia kumbe ni upuuzi huu..,

ukimpenda mwenzio mkapendana hamu ipo tu
 
Back
Top Bottom