Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

ivi serikali ndio ilikununulia ama uliamua mwenyewe kuinunua...? sasa hapo serikali imehusikaje wakati uamuzi ni wako ununue ama uache kununua...ingekuwa serikali imekushikia bunduki kukushinikiza ununue wallahi tungeandamana hadi kieleweke...lakini kwa ujanja wako umenunua mwenyewe bila kushinikizwa hiyo serikali hapo iingilie kati ili mpate nini...?
 
Back
Top Bottom