MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,292
- 10,948
Lakini si waweza msaidia kupitia mautundu kunako 6X6!Mimi sio daktari mkuu .kama mtu Hana hamu akamuone dokta
Okay,vinamfanyaje sasa mwanaume achelewe kumwaga?..Inaendelea mkuu.wanadai vinaamsha mihemko kwa wanawake
Sijajua kwa kweli mechanism yakeOkay,vinamfanyaje sasa mwanaume achelewe kumwaga?..
Vipo kibao mjini checki instagram kuleHivyo vipipi utamu una lamba au nijaribu vinapatikana wapi ila naogopa cancer
NdioLakini si waweza msaidia kupitia mautundu kunako 6X6!
Hapo safi kumbe nawe waweza kuwa dokta kwa mtu maalumNdio
Vinauzwa hatarihivo ni sukari ya mawe tu. haviongezi chochote.
nishavijaribu havina maajabu. Ila wajinga ndo tuliwao we uza tu shost. Wao wakila vumbi sie tunakula vipipi tukikutana mambo mareshii.Vinauzwa hatari
Mzee yeye ilikuaje?N
nishavijaribu havina maajabu. Ila wajinga ndo tuliwao we uza tu shost. Wao wakila vumbi sie tunakula vipipi tukikutana mambo mareshii.
Serikali inamambo mengi haiwez deal na non sense Kama hzLast month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali.
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara.
Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi utamu Ni biashara nzuri Sana inalipa Sana mikoa ya Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza na Mara.
Ehee nikamuuliza inakuaje. Kipakti cha pipi utamu kama hiki.
View attachment 1837719
Unanua tu elfu tatu ziko pipi kibaoo hata elfu moja. Ukija bara unapaki pipi tano hadi elfu 20 unauza
Eti zinamsaidia mwanamke kuongeza hamu ya tendo la ndoa. Basi Mimi nikanunua ila sipendi kufanya biashara inayohusu afya ya mtu. Nilivofika bara nikagawa kwa marafiki zangu kadhaa ili nijue vinafanyeje kazi ?? Maana Mimi sina mtu japo nilitumia sikujisikia kitu nikadhani labda nishakuwa hanisi
Basi wale wanawake majibu walonipa kwa muda tofauti yanafanana wanadai hawakujisikia kitu sema walivolala na waume zao wanaume walikaa Sana na waliumia Sana cha Moto walikiona na mmoja mume alipata hadi pressure kidogo afe
Bado Niko kwenye utafiti na vipipi ninavo. Naomba serikali iangalie wanaume watakufa Sana tusipokuwa makini maana vinauzwa Sana Sana nchini wanawake wengi hasa wanaujiuza wanatumia sana
Na hyo sukari hapo wataalamu watuambie Ni ya Nini??
Wanaume vumbi la kongo = Wanawake vipipiLast month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali.
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara.
Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi utamu Ni biashara nzuri Sana inalipa Sana mikoa ya Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza na Mara.
Ehee nikamuuliza inakuaje. Kipakti cha pipi utamu kama hiki.
View attachment 1837719
Unanua tu elfu tatu ziko pipi kibaoo hata elfu moja. Ukija bara unapaki pipi tano hadi elfu 20 unauza
Eti zinamsaidia mwanamke kuongeza hamu ya tendo la ndoa. Basi Mimi nikanunua ila sipendi kufanya biashara inayohusu afya ya mtu. Nilivofika bara nikagawa kwa marafiki zangu kadhaa ili nijue vinafanyeje kazi ?? Maana Mimi sina mtu japo nilitumia sikujisikia kitu nikadhani labda nishakuwa hanisi
Basi wale wanawake majibu walonipa kwa muda tofauti yanafanana wanadai hawakujisikia kitu sema walivolala na waume zao wanaume walikaa Sana na waliumia Sana cha Moto walikiona na mmoja mume alipata hadi pressure kidogo afe
Bado Niko kwenye utafiti na vipipi ninavo. Naomba serikali iangalie wanaume watakufa Sana tusipokuwa makini maana vinauzwa Sana Sana nchini wanawake wengi hasa wanaujiuza wanatumia sana
Na hyo sukari hapo wataalamu watuambie Ni ya Nini??
Mkuu Unaelewa maana ya side effects,?hata ubwabwa au ugali unaside effects ijekuwa hayo unayoyasema wewe?Usiogope bana havipungzi nguvu za kike.
Ila kama kuna mdada anataka apate hamu anicheki nimpe siri ya kitu cha asili kabisa na no side effects.
Au vipipi vyenyewe vinasemaje?Taratibu ueleweke, ingilie kati kwa nini? Kwani serikali yenyewe inasemaje?