A
Acha wapambane na hali zao maana ndo huwa wanaiweka iyo serikali madarakaniTatizo walimu wa hapa bongo wanachukuliwa powa sana yani kweli mtu ana diploma halafu unamlipa 150000tzs? leo hii mtu mtaani hana hata elimu lakini unakuta anaingiza 270000 mpaka 400000 kwa mwezi, Kama mimi naona serikali iangalie kwa makini sana kuhusu hawa watumishi kuongezewa mishahara.