Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kisheria mda wa kufungua bar ni Kuanzia saa tisa alasiri nasifinginevyo pesa sikitu endapo raia wanaendekeza ulevi nakubaki mafukaraSerikali inapata kodi kubwa tu kutoka kwenye pombe na vinywaji vikali kwahiyo unywaji huo ni mapato kwa serikali na hawawezi kuangilia kati chanzo hicho Cha mapato
Mkoa wa Kilimanjaro haupo kwenye mikia ya mikoa yenye raia maskini zaidi wengi..Kisheria mda wa kufungua bar ni Kuanzia saa tisa alasiri nasifinginevyo pesa sikitu endapo raia wanaendekeza ulevi nakubaki mafukara
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sio kweliMkoa wa Kilimanjaro haupo kwenye mikia ya mikoa yenye raia maskini zaidi wengi..
Uholela ambao nashauri Serikali iingilie ni ule wa gongo na hizi banana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikalini lini itaingilia Kule kwa Ndungai wananchi waache kula view vijeshi?
MaleboUna ugomvi na Maleko?
ni MalekoMalebo
Naamaanisha nilichoandikaMalebo
Sidhani kama mangi watakuacha salama.Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia mda wa kufungua bar.
Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe. Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi View attachment 2002023
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Acha kuwanga mchana kweupe pombe moshi ni asili yao kwani wananywea pesa yako? ajabu ni kwamba pengine huyo mlevi anamaendeleo mazuri kuliko wewe unayemkataza asinywe muda ambao ana kiu na uchovu mwingi kila mtu afanye kazi kwa muda wake na ainjoi kwa muda wakePamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.
Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe.
Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi View attachment 2002023
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
[emoji115] Acha kuingilia mambo ya watu.Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.
Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe.
Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi View attachment 2002023
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Weka icho kifungu kinachosema ivyoKisheria mda wa kufungua bar ni Kuanzia saa tisa alasiri nasifinginevyo pesa sikitu endapo raia wanaendekeza ulevi nakubaki mafukara
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app