Serikali iingilie kati suala la ulevi Moshi Mjini

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.

Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe.

Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi
images%20(21).jpg
 
Serikali inapata kodi kubwa tu kutoka kwenye pombe na vinywaji vikali kwahiyo unywaji huo ni mapato kwa serikali na hawawezi kuangilia kati chanzo hicho Cha mapato
 
Kisheria mda wa kufungua bar ni Kuanzia saa tisa alasiri nasifinginevyo pesa sikitu endapo raia wanaendekeza ulevi nakubaki mafukara
 
Sisi watu wa moshi tunapinga tuache na bia zetu kazi na dawa.
 
Wengi wao wastaafu bana, acha wale pension zao. Ndio refreshment pekee iliyobaki
 
Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia mda wa kufungua bar.
Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe. Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi View attachment 2002023

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sidhani kama mangi watakuacha salama.
 
Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.

Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe.

Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi View attachment 2002023

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Acha kuwanga mchana kweupe pombe moshi ni asili yao kwani wananywea pesa yako? ajabu ni kwamba pengine huyo mlevi anamaendeleo mazuri kuliko wewe unayemkataza asinywe muda ambao ana kiu na uchovu mwingi kila mtu afanye kazi kwa muda wake na ainjoi kwa muda wake
 
Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.

Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe.

Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi View attachment 2002023

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
[emoji115] Acha kuingilia mambo ya watu.
Hujui kama hujui! Christmas ndiyo hiyo hapa usoni. Watu wanachapa kazi na wanakula kwa jasho lao.
Kama swala la serikali inapopoa kodi maeneo yote Tozo tozo.! Waache wenyewe kuna waBunge na maDC nao wanashiriki unywaji huo.
Na January ikifika ada zinalipwa pia mashuleni kote.
Bia, bia, bia Tamu!!
 
Back
Top Bottom