Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.
Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza Nyanya Sokoni. Kwakweri serikali fanyeni hima mnusuru kipato cha wachaga hawa maana asilimia nyingi ya fedha zao zinapotea kwenye pombe.
Natumai mtalisikia hili asanteni saaana.
#mbowesiogaidi