Serikali iingilie kati watanzania wafanyakazi wanaofilisi makampuni sekta binafsi

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
671
Reaction score
707
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
 
Attachments

  • IMG_6550.jpeg
    IMG_6550.jpeg
    327.9 KB · Views: 38
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wafirisike tu wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Waambie waboreshe maslahi kwanza kabla ya yote. Wawekezaji wa TZ ndo wezi namba moja acha wafirisike tu tutaajiriwa kwingine
 
Inatakiwa waimarishe system za ulinzi wa ndani kudhibiti wizi, ndiyo njia pekee ya kuondokana na hilo tatizo

Ila sababu za kufunga biashara kwa makampuni mengi wizi unaweza kuwa minor cause, sababu zinaweza kukwepa kodi wanabadilisha na jina, mengine wanaona biashara hailipi wanahamia nchi nyingine nk, au mgogoro wa kiuchumi duniani kama kipindi cha covid, kufilisika nk
 
Hajajua upande wapili wa hayo makampuni huyu!.
 
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Ulichokiona hapo ndicho kipo kwenye mashirika ya umma kama TRA, TPA, NSSF, TBS, etc.

Hivyo basi Serikali inapoamua kubinafsisha baadhi ya shughuli za mashirika tuwe tunaelewa. Haya mabenki kama NMB, CRDB au NBC yasingefika hapo kama yasingekuwa yamebinsfsishwa.

Hata TBL na TCC zina perfom ni kwa sababu ya management ya nje. Mashirika ya simu kama Vodacom, Tigo, Airtel yote yamesimama vizuri kwa sababu ya ownership na management ya nje.

Watanzania ni watu wa kulalamika sana, watu wenye low performance na kila wakati wanafikiria kuiba kwa ajili ya kujenga, kununua gari na kustarehe
 
Naaam umeiweka vizur kabisa, serikal inashindwa kuiga how to do it kwenye private sector
 
Wakiboresha maslahi ya wafanyakazi wao + mikataba mizuri + mazingira mazuri sehemu ya kazi = hawatoibiwa
Si mtanzania, kuna gov institution, mtu wa chini zana anapipwa 800k, mtu wa juuu 8m,
Ukiachilia mbali marupu rupu lakin kutwa kucha udokozi, mipqngo ya upigaji.

Hii tabia kama mtu anayo , anayo tu. Wengine wanakuja makazin wakiwa na ethics na misimamo, ila wanakuwa absorbed na wapigaji
No body seem to care
 
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Waambie waboreshe kwanza maslai ya walinzi kama wanataka wasiibiwe, haiwezekani mlinz umlipe elfu 80 akulindie mali ya bilioni 300 huku unategemea atakukamatia mwizi kihalali..
 
Home shoping center ambao ndio GSM walifunga ofisi baada ya kuwa wameibia nchi na kukwepa kodi TRA
 
Kuna siku nilikuwa namsikiliza Paul Mashauri alikuwa anatoa maoni yake kuhusu kufanya biashara Tanzsnia.

Akaelezea wizi kama tatizo kubwa sana na jinsi wafanyakazi wengi wanavyokosa uaminifu Tanzania kuwa ni tatizo linalopelekea mpaka investor confidence kushuka.

Nikasema nilijua kuna tatizo la wizi, lakini sikujua kuna tatizo kubwa hivyo.
 
Waambie waboreshe kwanza maslai ya walinzi kama wanataka wasiibiwe, haiwezekani mlinz umlipe elfu 80 akulindie mali ya bilioni 300 huku unategemea atakukamatia mwizi kihalali..
Kuna jamaa alikuwa anaelezea uhusiano wa serikali na wafanyakazi wake.

Akasema serikali inadanganya kuwa inawalipa wafanyakazi wake mishahara, na wafanyakazi wanadanganya kwamba wanafanya kazi.
 
hivyo wote walaghai...🤣
 
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Acha wapigwe akili ziwakae sawa yaani unatoka nchini kwenu huko kama mwakilishi wa kampuni unakuja huku then unawalipa wafanyakazi laki 3 na degree zao alafu wewe unajilipa milioni 20...
Acha waibiwe tu..
 
Wakiboresha maslahi ya wafanyakazi wao + mikataba mizuri + mazingira mazuri sehemu ya kazi = hawatoibiwa
Na hizi taasisi za serikali ambazo wanalipwa mabilioni sbaabu ni nini kwajili ya wizi, usihalalishe wizi
 
Back
Top Bottom