Waambie waboreshe maslahi kwanza kabla ya yote. Wawekezaji wa TZ ndo wezi namba moja acha wafirisike tu tutaajiriwa kwingineNimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wafirisike tu wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Hajajua upande wapili wa hayo makampuni huyu!.Inatakiwa waimarishe system za ulinzi wa ndani kudhibiti wizi, ndiyo njia pekee ya kuondokana na hilo tatizo
Ila sababu za kufunga biashara kwa makampuni mengi wizi unaweza kuwa minor cause, sababu zinaweza kukwepa kodi wanabadilisha na jina, mengine wanaona biashara hailipi wanahamia nchi nyingine nk, au mgogoro wa kiuchumi duniani kama kipindi cha covid, kufilisika nk
Ulichokiona hapo ndicho kipo kwenye mashirika ya umma kama TRA, TPA, NSSF, TBS, etc.Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Naaam umeiweka vizur kabisa, serikal inashindwa kuiga how to do it kwenye private sectorUlichokiona hapo ndicho kipo kwenye mashirika ya umma kama TRA, TPA, NSSF, TBS, etc.
Hivyo basi Serikali inapoamua kubinafsisha baadhi ya shughuli za mashirika tuwe tunaelewa. Haya mabenki kama NMB, CRDB au NBC yasingefika hapo kama yasingekuwa yamebinsfsishwa.
Hata TBL na TCC zina perfom ni kwa sababu ya management ya nje. Mashirika ya simu kama Vodacom, Tigo, Airtel yote yamesimama vizuri kwa sababu ya ownership na management ya nje.
Watanzania ni watu wa kulalamika sana, watu wenye low performance na kila wakati wanafikiria kuiba kwa ajili ya kujenga, kununua gari na kustarehe
Si mtanzania, kuna gov institution, mtu wa chini zana anapipwa 800k, mtu wa juuu 8m,Wakiboresha maslahi ya wafanyakazi wao + mikataba mizuri + mazingira mazuri sehemu ya kazi = hawatoibiwa
Waambie waboreshe kwanza maslai ya walinzi kama wanataka wasiibiwe, haiwezekani mlinz umlipe elfu 80 akulindie mali ya bilioni 300 huku unategemea atakukamatia mwizi kihalali..Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Dah!Waambie waboreshe kwanza maslai ya walinzi kama wanataka wasiibiwe, haiwezekani mlinz umlipe elfu 80 akulindie mali ya bilioni 300 huku unategemea atakukamatia mwizi kihalali..
Kuna siku nilikuwa namsikiliza Paul Mashauri alikuwa anatoa maoni yake kuhusu kufanya biashara Tanzsnia.Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Kuna jamaa alikuwa anaelezea uhusiano wa serikali na wafanyakazi wake.Waambie waboreshe kwanza maslai ya walinzi kama wanataka wasiibiwe, haiwezekani mlinz umlipe elfu 80 akulindie mali ya bilioni 300 huku unategemea atakukamatia mwizi kihalali..
Watanzania uswahili mwingi sana mkuuNdio maana kijana Benjamin Fernandes alikataa kuweka kampuni yake ya Nala hapa bongo.
hivyo wote walaghai...🤣Kuna jamaa alikuwa anaelezea uhusiano wa serikali na wafanyakazi wake.
Akasema serikali inadanganya kuwa inawalipa wafanyakazi wake mishahara, na wafanyakazi wanadanganya kwamba wanafanya kazi.
Acha wapigwe akili ziwakae sawa yaani unatoka nchini kwenu huko kama mwakilishi wa kampuni unakuja huku then unawalipa wafanyakazi laki 3 na degree zao alafu wewe unajilipa milioni 20...Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa zinaisha, maana yake ni wizi. hili ni suala sugu nchini kwetu, stori nyingi za vijana ukikaa nao ambae kaajiriwa anawaza kuiba ajenge anunue gari ila hio kampuni kwa miaka ya mbele unakuta wanafunga. Kuna kampuni nyingi zimefunga kwajili ya wizi wa wfanyakazi, naona ni muda serikali iingilie kati kuokoa wawekezaji! Wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi maana wanagharimu uchumi wetu wanagharimu kazi za vijana wetu, inakuaje mtu unaiba mpaka kampuni inafunga? Sasa kama hawa wanadhamini timu za mpira zinazoingiza mamimilioni ya fedha kwenye uchumi leo hii wanaondoka timu zetu zianze kuhangaika tena aisee serikali iingilie kati wafanyakazi wanaofilisi makampuni wafunguliwe kesi za kuhujumu uchumi hii ndio namna pekee kuokoa ajira na uwekezaji nchini maana wizi umekifiri!
Janja janja na utapeli mwingi.Watanzania uswahili mwingi sana mkuu
Maslahi sio sababu ya kuiba, watu wanafanyakazi benki na wanaiba mabilioni. Msihalalishe wizo. Wizi ni wizi. Kama unaona hela haikiufai kwa hiyo tasisi ondokaWaambie waboreshe maslahi kwanza kabla ya yote. Wawekezaji wa TZ ndo wezi namba moja acha wafirisike tu tutaajiriwa kwingine