Lakini mada yako si umeileta ukilenga sekta binafsi.? Tuishi humo, hao serikali kila siku wanajadiliwa na hakuna kipya
Hii ni economic crisis! Lazima waingilie kati! Wawekezaji wanawekeza pesa wananchi wao wanawafilisi! We unaona kawaida, very sooj watu wataacha kuja Tanzania kuwekeza. Lazima itungwe sheria kali kwa wanaofilisi makampuni maana kimahakam process ni ndefu mnoo, unashtaki leo unakuja kupata haki miaka 10 badae hamna mwekezaji ana muda huo. Itungwe sheria mtu akifilisi kampuni afungwe kwa kuhujumu uchumiKila kitu serikali serikali ndio maana akili zinadumaa, Serikali ina mhimili wa mahakama, ambao kazi yake ndio ku deal na hizo issue hapo unataka serikali iafnye nini tena???
Kaka amini usiamini, wanaofilisi ni wachache kuliko wengi wanaoumia kutokana na maslahi duni humo makazini (sekta binafsi)Hii ni economic crisis! Lazima waingilie kati! Wawekezaji wanawekeza pesa wananchi wao wanawafilisi! We unaona kawaida, very sooj watu wataacha kuja Tanzania kuwekeza. Lazima itungwe sheria kali kwa wanaofilisi makampuni maana kimahakam process ni ndefu mnoo, unashtaki leo unakuja kupata haki miaka 10 badae hamna mwekezaji ana muda huo. Itungwe sheria mtu akifilisi kampuni afungwe kwa kuhujumu uchumi
Unamfungaje bila kuthibitisha? Unasema ki mahakama process ni ndefu sasa hiyo sheria ikitungwa ni muhimili gani utaamua haki??, ndio maana FaizaFoxy alikuwa anauliza kama huko shule huwa mnakwenda kusomea ujinga.Hii ni economic crisis! Lazima waingilie kati! Wawekezaji wanawekeza pesa wananchi wao wanawafilisi! We unaona kawaida, very sooj watu wataacha kuja Tanzania kuwekeza. Lazima itungwe sheria kali kwa wanaofilisi makampuni maana kimahakam process ni ndefu mnoo, unashtaki leo unakuja kupata haki miaka 10 badae hamna mwekezaji ana muda huo. Itungwe sheria mtu akifilisi kampuni afungwe kwa kuhujumu uchumi
Unamfungaje bila kuthibitisha? Unasema ki mahakama process ni ndefu sasa hiyo sheria ikitungwa ni muhimili gani utaamua haki??, ndio maana FaizaFoxy alikuwa anauliza kama huko shule huwa mnakwenda kusomea ujingw
Wanaofilisi ni wengi! Wengi mnooo! Ushahidi ninaoKaka amini usiamini, wanaofilisi ni wachache kuliko wengi wanaoumia kutokana na maslahi duni humo makazini (sekta binafsi)
Sheria iwepo ya kumlinda mwekezaji lakini pia kuwe na sheria kali ya kulinda masilahi ya mfanyakazi ili tufaidike wote
Cheki huyu nae! Mafisadi wa nchi hii Wana mazingira gani mabaya ya kazi?Wakiboresha maslahi ya wafanyakazi wao + mikataba mizuri + mazingira mazuri sehemu ya kazi = hawatoibiwa
Umesoma title ukaona inahusu nini?? Mada inahusu sekta binafsi, nyie mnazungumia serikali.!! Mimi nilichoandika kimelenga title ya hii mada.Cheki huyu nae! Mafisadi wa nchi hii Wana mazingira gani mabaya ya kazi?
Tujaribu kukuonyesha kuwa asili ya mtanzania ni wizi! Regardless ni sector gani na mazingira gani ya kazi..Umesoma title ukaona inahusu nini?? Mada inahusu sekta binafsi, nyie mnazungumia serikali.!! Mimi nilichoandika kimelenga title ya hii mada.
Wezi wa kwanza ni hao serikali wakiongozwa na rais hivyo siyo rahisi kudhibiti mashirika ya umma. Unadhani unaweza kusimamia mtu asiibe wakati wewe ndiyo unakomba kama hakuna kesho? Ni mfanyakazi gani atakayeacha kuiba wakati anaona Abdul anavyovuruga nchi kwa fedha? Uongozi wa juu wakiwa wasafi na kutenda haki hata watu wa chini wataogopa.Ulichokiona hapo ndicho kipo kwenye mashirika ya umma kama TRA, TPA, NSSF, TBS, etc.
Hivyo basi Serikali inapoamua kubinafsisha baadhi ya shughuli za mashirika tuwe tunaelewa. Haya mabenki kama NMB, CRDB au NBC yasingefika hapo kama yasingekuwa yamebinsfsishwa.
Hata TBL na TCC zina perfom ni kwa sababu ya management ya nje. Mashirika ya simu kama Vodacom, Tigo, Airtel yote yamesimama vizuri kwa sababu ya ownership na management ya nje.
Watanzania ni watu wa kulalamika sana, watu wenye low performance na kila wakati wanafikiria kuiba kwa ajili ya kujenga, kununua gari na kustarehe
Chanzo cha wizi ni nini?? Kwamba inatokea tu mtu anaiba?? Sikatai wapo ambao wana maslahi mazuri na bado wanaiba, lakini tuangalie majority ya hao wafanyakazi, ukifanya uchunguzi mdogo utakuja kugundua wanaoiba ni wachache kuliko ambao wanafanya kazi katika mazingira magumu yenye maslahi madogo?Tujaribu kukuonyesha kuwa asili ya mtanzania ni wizi! Regardless ni sector gani na mazingira gani ya kazi..
Halafu yanaenda kuhonga malaya na kunywa bia , upumbavu wa watanzania ni wa asili .Mtanzania ataiba tu, We anagalia serikarini watu wanavojichotea mipesa wakati wana mishahara minono na posho nzuri
mbogo wizi uko damuni. tazama viongozi wa kisiasa tu. Mtu ana position analishwa, anavishwa, ana walinzi anapewa magari ahta akistaafu anatunzwa hadi kufa na kulipwa mshahra . Lakini bado ataiba pesa ambayo hata hawezi kuimaliza.Waambie waboreshe maslahi kwanza kabla ya yote. Wawekezaji wa TZ ndo wezi namba moja acha wafirisike tu tutaajiriwa kwingine
Tatizo.ni CCM.si mnasema.mama anaupiga mwingi.acha watu waendelee kuibambogo wizi uko damuni. tazama viongozi wa kisiasa tu. Mtu ana position analishwa, anavishwa, ana walinzi anapewa magari ahta akistaafu anatunzwa hadi kufa na kulipwa mshahra . Lakini bado ataiba pesa ambayo hata hawezi kuimaliza.
Mbongo hata umlipe vizuri bado atakuibia. Ukimlipa milioni tano kwa mwezi ataandaa mchongo wa kukupiga milioni hata 200 kama anaweza.
Wizi ni our way of life.
Ndio maana kijana Benjamin Fernandes alikataa kuweka kampuni yake ya Nala hapa bongo.
Uneomba kazi ukiwa jobless na ukapewa baada ya kukubali terms. Hiyo issue ya kuboresha masilahi inatoka wapi?Wakiboresha maslahi ya wafanyakazi wao + mikataba mizuri + mazingira mazuri sehemu ya kazi = hawatoibiwa
Abdul ameiba hela gani na kaiba taasisi gani? Ucha kumuonea wivu kwa vile ni mtoto wa Rais.Wezi wa kwanza ni hao serikali wakiongozwa na rais hivyo siyo rahisi kudhibiti mashirika ya umma. Unadhani unaweza kusimamia mtu asiibe wakati wewe ndiyo unakomba kama hakuna kesho? Ni mfanyakazi gani atakayeacha kuiba wakati anaona Abdul anavyovuruga nchi kwa fedha? Uongozi wa juu wakiwa wasafi na kutenda haki hata watu wa chini wataogopa.