Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.
Ukifuatilia kwa umakini wilaya nyingi zimelipwa mapunjo na madai ya mshahara lakini wilaya Uyui tu ndio hawajalipwa. Maafisa utumishi wanadharau na kiburi kimewajaa ukienda pale kazi nikukupangia ratiba ya kazi zao mara nitakuwa dodoma, mara nipo kwenye interview ya watendaji mara ntakuwepo kwenye mwenge.
Yaani anakuzungusha ili ujikoki sasa .Serikali tunaomba utuondolee maafisa utumishi hawa hasa rm, kava pamoja blue hawa ndio wanaongoza kwa kuomba rushwa