DOKEZO Serikali iingilie kati wilaya ya Uyui upande wa maafisa utumishi wamekuwa wakiomba rushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

informer1

Member
Joined
Jul 23, 2024
Posts
34
Reaction score
28
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.

Ukifuatilia kwa umakini wilaya nyingi zimelipwa mapunjo na madai ya mshahara lakini wilaya Uyui tu ndio hawajalipwa. Maafisa utumishi wanadharau na kiburi kimewajaa ukienda pale kazi nikukupangia ratiba ya kazi zao mara nitakuwa dodoma, mara nipo kwenye interview ya watendaji mara ntakuwepo kwenye mwenge.

Yaani anakuzungusha ili ujikoki sasa .Serikali tunaomba utuondolee maafisa utumishi hawa hasa rm, kava pamoja blue hawa ndio wanaongoza kwa kuomba rushwa
 
Serikali yenyewe inaomba na kutoa rushwa wazi wazi.
Sasa sijui unamshitaki nani!
 
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.

Ukifuatilia kwa umakini wilaya nyingi zimelipwa mapunjo na madai ya mshahara lakini wilaya Uyui tu ndio hawajalipwa. Maafisa utumishi wanadharau na kiburi kimewajaa ukienda pale kazi nikukupangia ratiba ya kazi zao mara nitakuwa dodoma, mara nipo kwenye interview ya watendaji mara ntakuwepo kwenye mwenge.

Yaani anakuzungusha ili ujikoki sasa .Serikali tunaomba utuondolee maafisa utumishi hawa hasa rm, kava pamoja blue hawa ndio wanaongoza kwa kuomba rushwa

Wilaya zote ni hivyo hivyo ajabu kuwa hao pccb wapo wapo tu
 
Ukiona Hivyo ujue ndo mfumo wa Serikali nzima,,,Wakati wa marehemu pamoja na madhaifu yake mengi haya Mambo yalipungua sana
 
Yani hao unaowataka watoe msaada nao watakuomba pesa ili mchakato uende haraka..

Insane 😆😆😆
 
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.

Ukifuatilia kwa umakini wilaya nyingi zimelipwa mapunjo na madai ya mshahara lakini wilaya Uyui tu ndio hawajalipwa. Maafisa utumishi wanadharau na kiburi kimewajaa ukienda pale kazi nikukupangia ratiba ya kazi zao mara nitakuwa dodoma, mara nipo kwenye interview ya watendaji mara ntakuwepo kwenye mwenge.

Yaani anakuzungusha ili ujikoki sasa .Serikali tunaomba utuondolee maafisa utumishi hawa hasa rm, kava pamoja blue hawa ndio wanaongoza kwa kuomba rushwa
Ni kweli hili lifanyiwe KAZI mapema. Unaotendwa ni UOVU mzito mno.
 
Back
Top Bottom