Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Watanzania uwezo wakifikiria unapungua daily Kuna baadhi ya vitu lazima viwe regulated na sio swala la kila mtu kuwa na ukumbiKama mwizi mshitaki
Kama huridhiki nenda sehemu za wazi kafanye sherehe.
Umeeleza haduma zote ila huduma ya choo hujasema kama mwizi
Kwa hiyo na kumbi za sherehe ziwe za serikali?!! haaah, dunia nzima hakuna kitu kama hicho, ukishindwa gharama hiyo tafuta kwenye uwezo wako mbona zipo tu!!!Watanzania uwezo wakifikiria unapungua daily Kuna baadhi ya vitu lazima viwe regulated na sio swala la kila mtu kuwa na ukumbi
Kha Jaman ni nini hilo.Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao.
Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi.
Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana nao wakati nikitafuta Ukumbi kwa ajili ya sherehe ya ndoa.
View attachment 2026073
Wanalipa VAT tena kwa hiari usiwaguse.Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao.
Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi.
Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana nao wakati nikitafuta Ukumbi kwa ajili ya sherehe ya ndoa.
View attachment 2026073
Don't miss the point bwashee, regulations zipo as long as serikali itaona kuna ulazima. Ndiyo maana kuna kipengele hapo kimeandikwa "muda wa kufanya sherehe ni saa 6:00 usiku kwa mujibu wa sheria za Halmashauri za miji". Kama serikali haihusiki mbona Halmashauri/Municipal zimeweka hizo sheria?Kwa hiyo na kumbi za sherehe ziwe za serikali?!!haaah, dunia nzima hakuna kitu kama hicho, ukishindwa gharama hiyo tafuta kwenye uwezo wako mbona zipo tu!!!
Lazima ziwe regulated watoe huduma kulingana na thamani ya huduma wanazotoa. Yani mtu utoe huduma kulingana na gharama, haiwezekani vitu viwe vulululu vulululu tuKwa hiyo na kumbi za sherehe ziwe za serikali?!!haaah, dunia nzima hakuna kitu kama hicho, ukishindwa gharama hiyo tafuta kwenye uwezo wako mbona zipo tu!!!
Asante kwa ufafanuzi mzuriDon't miss the point bwashee, regulations zipo as long as serikali itaona kuna ulazima. Ndiyo maana kuna kipengele hapo kimeandikwa "muda wa kufanya sherehe ni saa 6:00 usiku kwa mujibu wa sheria za Halmashauri za miji". Kama serikali haihusiki mbona Halmashauri/Municipal zimeweka hizo sheria?
Don't miss the point bwashee, regulations zipo as long as serikali itaona kuna ulazima. Ndiyo maana kuna kipengele hapo kimeandikwa "muda wa kufanya sherehe ni saa 6:00 usiku kwa mujibu wa sheria za Halmashauri za miji". Kama serikali haihusiki mbona Halmashauri/Municipal zimeweka hizo sheria?
Mpaka raha hakuna stress kabisa[emoji23]Dini ya haki. Hainaga hizi mbaga. Chai na maandazi unakabidhiwa mke sebulen. Baada ya muda unaweza kumpa talaka ukaanza upya mpaka wanne