Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao.
Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi.
Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana nao wakati nikitafuta Ukumbi kwa ajili ya sherehe ya ndoa.
View attachment 2026073
Bado hujamwelewa mleta mada. Kinacho-control price ya goods or services ni demand and supply na still kuna baadhi ya bidhaa au huduma bado pia demand na supply haitumiki na serikali tu ndiyo ita-fix prices ya hivyo vitu, mfano mafuta, maji, umeme etc. Mleta mada ameelezea kwa ufasaha kabisa kuhusu wenye kumbi kumlazimisha mteja kukodi hall na huduma nyingine ambazo siyo lazima nihudumiwe na hizo halls. Iweje umlazimishe mteja kupata huduma nyingine apart from your hall? Ilihali anao uwezo wa kuzipata huduma nyingine tena zilizo bora at reasonable cost?Yaani regulations za time unataka kufananisha na price capping na procurement ya vitu vyako vya harusi ? Seriously serikali iweke masharti utavyompata mc, mziki, upambaji na vyakula na magari plus picha..nchi ngumu hii kwa kweli
Bado hujamwelewa mleta mada. Kinacho-control price ya goods or services ni demand and supply na still kuna baadhi ya bidhaa au huduma bado pia demand na supply haitumiki na serikali tu ndiyo ita-fix prices ya hivyo vitu, mfano mafuta, maji, umeme etc. Mleta mada ameelezea kwa ufasaha kabisa kuhusu wenye kumbi kumlazimisha mteja kukodi hall na huduma nyingine ambazo siyo lazima nihudumiwe na hizo halls. Iweje umlazimishe mteja kupata huduma nyingine apart from your hall? Ilihali anao uwezo wa kuzipata huduma nyingine tena zilizo bora at reasonable cost?
Watanzania uwezo wakifikiria unapungua daily Kuna baadhi ya vitu lazima viwe regulated na sio swala la kila mtu kuwa na ukumbi
Don't miss the point bwashee, regulations zipo as long as serikali itaona kuna ulazima. Ndiyo maana kuna kipengele hapo kimeandikwa "muda wa kufanya sherehe ni saa 6:00 usiku kwa mujibu wa sheria za Halmashauri za miji". Kama serikali haihusiki mbona Halmashauri/Municipal zimeweka hizo sheria?
Lazima ziwe regulated watoe huduma kulingana na thamani ya huduma wanazotoa. Yani mtu utoe huduma kulingana na gharama, haiwezekani vitu viwe vulululu vulululu tu
Mbaya zaidi unakuta hizo kumbi hawajulikani kwenye mamlaka za kodi kama wanafanya biashara ya kuuza vinywajiBado hujamwelewa mleta mada. Kinacho-control price ya goods or services ni demand and supply na still kuna baadhi ya bidhaa au huduma bado pia demand na supply haitumiki na serikali tu ndiyo ita-fix prices ya hivyo vitu, mfano mafuta, maji, umeme etc. Mleta mada ameelezea kwa ufasaha kabisa kuhusu wenye kumbi kumlazimisha mteja kukodi hall na huduma nyingine ambazo siyo lazima nihudumiwe na hizo halls. Iweje umlazimishe mteja kupata huduma nyingine apart from your hall? Ilihali anao uwezo wa kuzipata huduma nyingine tena zilizo bora at reasonable cost?
Its simple, mbona mitandao ya simu ikipandisha hamsemi mtu achague mtandao anaoona ni nafuu kwake?Regulations zipo kwenye mazingira/usafi na usalama wa ukumbi. Bei kila mtu apange atakavyoona inafaa, ukiona huwezi tafuta ukumbi mwingine au fanyia sherehe nyumbani kwako.Kwenye soko huria nguvu za soko"market forces" ndizo zinaamua bei.
Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao.
Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi.
Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana nao wakati nikitafuta Ukumbi kwa ajili ya sherehe ya ndoa.
View attachment 2026073
Its simple, mbona mitandao ya simu ikipandisha hamsemi mtu achague mtandao anaoona ni nafuu kwake?
Biashara lazima ziwe regulated ili watu wasitumie monopoly vibaya
Its simple, mbona mitandao ya simu ikipandisha hamsemi mtu achague mtandao anaoona ni nafuu kwake?
Biashara lazima ziwe regulated ili watu wasitumie monopoly vibaya
Fursana ya 500 inauzwa 1500?
Anyways, sahizi watu wenye resources wanajifanyia wnanachotaka, as if hakuna regulator
Harusi ni sherehe,
Sherehe ni STAREHE.
SERIKALI haiwezi kuingilia Sherehe au STAREHE za watu.
Serikali inaweza ingalia ndoa lakini sio harusi.
Serikali haipangagi masuala ya ANASA au STAREHE za watu wake.
Ndio maana huwezi sikia serikali ikiingilia bei ya pombe au sigara Kwa maana ni STAREHE hizo ambazo mtu anaweza kuifanya au asifanye.
Ila serikali inaweza ingilia vitu basic na lazima Kama vile maji, Mafuta, umeme, vocha(bando) Kwa maana hizo ni muhimu na basic.
Kuiingiza serikali kwenye STAREHE zako ni ukosefu wa Akili.
Ni Sawa na masuala ya Hoteli, au Lodge, au Guesthouse,
Au masuala ya kwenda Disco au kuangalia Wasanii.
Msanii anauwezo WA kukuambia kiingilio milioni moja l. Sasa wewe utajipima Kama unauwezo huo au laa, pia utaangalia huyo msanii anatoa Huduma ya viwango hivyo au ni geresha tuu.
Usitake kila kitu serikali ikufanyie hasa mambo ya ANASA.
Harusi sio lazima.
Ndoa ndio lazima.