[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo wabongo mnapenda sana sherehe na kujionyesha. Fedha mnapata kwa taabu sana ila ukiibahatisha unasahau taabu za jana unajifanya mfalme na matumizi ya hovyo kama masherehe ili ujichukulie maujiko. Acha wenye maukumbi wawapige na vitu vizito utosini
Ni lazima ukodi huo ukumbi unaousema wa tabata? Why usiende kumbi zingine?
Huo ukumbi umeweka masharti yake. Kama mtu yanakukwaza. Unaachana nao unaenda kodi kwingine..
Sijakodi nimehudhiria ka mwalikwa and I noticed it, mie nimezoea kumbi classic ka akemi, primerose, na nyinginezo nzuri tofauti na huko tabata na athari za vitu vyao ku force kufanya kila kitu na madhara yake.
N. B mbona point yangu Iko clear na watu mna force sijui Kodi kumbi nyingine why force eeh

Nalaumu wenye kumbi hizo na masharti ya kijingaMlaumu mwenye tukio kwa kubali vigezo na masharti ya huo ukumbi, hakulazimishwa, aliuchukua mwenyewe kwa ridhaa yake.
Bandiko refu nadhani hujanielewa concern yangu kabisa na wengi hamtaki kuelewa mko na soko huria tu soko huria kah.Mimi ninachoshangaa mtu kulalamika huduma ambayo hujalazimishwa kuinunua hapo..
Biashara za starehe ni biashara huria.. mfano hata chakula kuna hotel ama migahawa inauza bufee tu . Hata kama unataka kula yai tu. Ni lazima ulipie bei ya bufee.. maana utaratibu wao hawauzi yai peke yake. Maana wao wanataka faida.
Hao wenye ukumbi wamewekeza hela zao nyingi na pengine ni mikopo.. sasa ili hela irudi haraka wanaweka masharti yanayowapa faida nzuri. Mtu mwenye akili unaachana na ukumbi wenye masharti ambayo huyapendi na unaenda tafuta ukumbi unaokufaa na ambao una masharti unayoyaweza..
Ila kulazimisha upewe ukumbi kwa kukataa masharti yao sio sahihi.. maana wale hawajakujengea wewe peke yako ukumbi.... watakaokubali masharti ndio wateja wanaowataka
Siku dada yako akiachika ukafukuzwa hapo kwa shemeji yako ndo utayajua maisha vizuri. Kwa sasa kwa kuwa mmeolewa hapo unakula,kunya na kulala bure huwezi elewa.Umelazimishwa kufanya sherehe? Je ni matumizi muhimu au kupenda anasa na kujionyesha ndo kunawagharimu hivyo?
Hakuna cha serikali kuingilia kati. Kama huna hela acha tamaa. Nenda ukafunge ndoa na sherehe andaa kwenu kwa gharama unayoimudu.
Siku dada yako akiachika ukafukuzwa hapo kwa shemeji yako ndo utayajua maisha vizuri. Kwa sasa kwa kuwa mmeolewa hapo unakula,kunya na kulala bure huwezi elewa.Mimi ninachoshangaa mtu kulalamika huduma ambayo hujalazimishwa kuinunua hapo..
Biashara za starehe ni biashara huria.. mfano hata chakula kuna hotel ama migahawa inauza bufee tu . Hata kama unataka kula yai tu. Ni lazima ulipie bei ya bufee.. maana utaratibu wao hawauzi yai peke yake. Maana wao wanataka faida.
Hao wenye ukumbi wamewekeza hela zao nyingi na pengine ni mikopo.. sasa ili hela irudi haraka wanaweka masharti yanayowapa faida nzuri. Mtu mwenye akili unaachana na ukumbi wenye masharti ambayo huyapendi na unaenda tafuta ukumbi unaokufaa na ambao una masharti unayoyaweza..
Ila kulazimisha upewe ukumbi kwa kukataa masharti yao sio sahihi.. maana wale hawajakujengea wewe peke yako ukumbi.... watakaokubali masharti ndio wateja wanaowataka
Siku dada yako akiachika ukafukuzwa hapo kwa shemeji yako ndo utayajua maisha vizuri. Kwa sasa kwa kuwa mmeolewa hapo unakula,kunya na kulala bure huwezi elewa.
Siku dada yako akiachika ukafukuzwa hapo kwa shemeji yako ndo utayajua maisha vizuri. Kwa sasa kwa kuwa mmeolewa hapo unakula,kunya na kulala bure huwezi elewa.Kenge wewe. Mimi nina uwezo wa kukufuga na ukoo wako wote. Siyo wa kulalamika lalamika eti gharama ziangaliwe na serikali.
Kama huna jeuri ya kulipia gharama hizo achana na tamaa za kijinga.
Kumbi zote ziwe na nakala ya IlaniMimi ninachoshangaa mtu kulalamika huduma ambayo hujalazimishwa kuinunua hapo..