chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano.
Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil), MVIWATA ni chama Cha Siasa au ni mkono wa chama Cha kisiasa, chenye Nia ya kurubuni wakulima.
Sasa kama ni chama Cha kisiasa au ni taasisi ya chama Cha kisiasa, bila shaka dola Ina haki ya kukipiga Pini za aina zote kisiasa.
Si ajabu wanasiasa wanafichia au kupitishia Hela zao MVIWATA
Serikali iifunue hii taasisi, watu wanaohusiana nayo, vyanzo vya mapato, na malengo yao kwa nchi hii, na wanasiasa walioianzisha, na jinsi wanavyoitumia.
Kwa kuwa wameamua kuanzisha vita ,basi mbwai na iwe mbwai, fita ni fita mura. Nina imani serikali itafanya kitu, na wao watajua