kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Serikali sio kitu cha mchezomchezo kinachopaswa kutiliwa mashaka na wananchi. Watu wote wanaojiita "sisi Serikali" lazima mfanye utafiti wa kina kabla ya kutamka, kuagiza na kuutekeleza jambo kwa wananchi ili kuepuka wananchi kuitilia mashaka Serikali Yao.
Sio jambo Jena kwa Serikali kuomba radhi watu wake kwa makosa ya kusema, kuagiza au kutekeleza jambo kimakosa au kwa mapungufu,
Sio jambo Jena kwa Serikali kuomba radhi watu wake kwa makosa ya kusema, kuagiza au kutekeleza jambo kimakosa au kwa mapungufu,