Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

Wanatafuta sifa tu. Yani hii nchi hakuna jambo tuliwahi fanya likafanikiwa hata kwa 60%

We are jack of many trades but master of none.

Kila kitu tunagusa gusa tu
 
Back
Top Bottom