Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

Natural death au kaondolewa ki namna? Maana kazi zingine kifo ni nje nje saa yoyote unadedishwa kama utatoa siri au kuna umafia uliwafanyia watu na wewe wanakutoa ukikaa kizembe
 
Utamaduni wenu ni upi??
Kuteka Watu, kuwatesa na kuua Watu kiholela?
 
Yaani mtu azushe upuuzi halafu serikali iwe husy kujihu fake IDs and puppete

La hasha

Serikali Haina sababu ya kujibu upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…