Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Ni zamu ya majaliwa kutudanganya tena
Vijana wa siku hizi wana maisha mafupi sana , wamejaa laana, hawana hofu ya aina yyte. Wazushi waso na haya. Watu gani wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao ht ingekuwa kwl. Wanaharamu hao.Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Kenya siku hizi watalii wanaenda kuona wanyama, Mlima Kenya na gen zeeVijana wa siku hizi wana maisha mafupi sana , wamejaa laana, hawana hofu ya aina yyte. Wazushi waso na haya. Watu gani wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao ht ingekuwa kwl. Wanaharamu hao.
Ikitokea Netanyahu kakata, Gaza wakashangilia utawaita hamnazo?Mtu anayeshangilia kifo cha mwengine ni hamnazo fulani
Toka huko shimoni ulipolalaHao wapuuzi wanaoshangilia vifo ni vichaa
Na wazushi
Inn illa wallah rahil raijunHuko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Spy ni kazi za stress sanaNatural death au kaondolewa ki namna? Maana kazi zingine kifo ni nje nje saa yoyote unadedishwa kama utatoa siri au kuna umafia uliwafanyia watu na wewe wanakutoa ukikaa kizembe
Unahisi Kwa nini washangilie siku hizi wakati zamani haikuwa hivyo?Hao wapuuzi wanaoshangilia vifo ni vichaa
Na wazushi
Mafisadi, wauza unga, wakwepa kodi, wafanyakazi hewa, vyeti feki na wahujumu uchumi walishangilia sana kifo cha Magufuli. Uliona kuna mtu alikemea kuwa siyo utamaduni wetu? Tena baadhi wakajitokeza hadharani kabisa na kauli za "watu wema huwa hawafi" na kwamba kila mtu alikuwa analamba asali baada ya Magufuli kuondoka.Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Watawala hawana budi kubadilika. Ukiona raia wanashangilia kila kifo cha key player wa ruling class, ujue wameshachoka kukandamizwa na watawala. Their next step is even worse!Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Hujamwelewa Ponjoro wa Kinondoni, mwenyewe anashangilia akiwa huko Kizimkazi.Utamaduni wenu ni upi??
Kuteka Watu, kuwatesa na kuua Watu kiholela?
Bora ukalale kama jina lako uote upya2028 kuna msiba mzito sanaaa
Kifo cha mkurungezi wa usalama wa Taifa hakiwezi kuwa ni siri.Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Nakazia Jambo Lililo Mbele Yetu Sasa HiviUsimpangie mtu furaha yake