Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Sasa kama wale ni majirani utawazuiaje kutangaza kwamba amekufa? Kifo ni kifo tu mwamba hata msipotangaza kama amekufa amekufa tu!Taarifa haijatoka officially
Sasa kama wale ni majirani utawazuiaje kutangaza kwamba amekufa? Kifo ni kifo tu mwamba hata msipotangaza kama amekufa amekufa tu!Taarifa haijatoka officially
Je siyo kweli kwamba KIFO NI KIFO TUUUU.Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Na ikawe kweli basi. Wale mnaowashilia kule magerezani kwa kesi za kubambikizia siyo binaadamu??Vijana wa siku hizi wana maisha mafupi sana , wamejaa laana, hawana hofu ya aina yyte. Wazushi waso na haya. Watu gani wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao ht ingekuwa kwl. Wanaharamu hao.
Unafikiri sababu za wao kufanya hivyo hasa ni nini??Watanzania kwa kuzua yasikokuwepo ni kawaida yao,
1. Walizusha kwamba makamu wa rais kafariki.
2. Walizusha RC wa Arusha roho na mwili kutengana.
3. Walizusha kuhusu Makamu mwenyekiti wa ccm kwamba katangulia.
Hayo yote hayakuwa ukweli bali uzushi
Siri zenyewe ni wizi 😂😂😂Kifo cha mkurungezi wa usalama wa Taifa hakiwezi kuwa ni siri.
Ila chanzo cha kifo chake ndiyo mhimu zaidi kukijua.
Maana kuna mwaka kama sikosei kifo cha Kombe kilihusishwa na yeye kutoa taarifa za siri kwa kiongozi wa upinzani.Nafasi hii ni nyeti na inahusisha kutunza siri nyingi sana mhimu za usalama wa taifa. sasa sijajua watalaamu watatusaidia.kama ukikosana na mfumo na wewe una taarifa zao nyeti,p3ngine ni mbaya kabisa kuja public si inabidi wai-format hiyo "disc" ili wawe safe.
Wanawajua watanzania ni watu wa aina ganiUnafikiri sababu za wao kufanya hivyo hasa ni nini??
Kenya siku hizi watalii wanaenda kuona wanyama, Mlima Kenya na gen zee
That is how low gen zege wamekua
Kifo kitu cha kawaida tu, Ila, kama katunguliwa na anko Kagame, akiwa kwenye mission ya inteligensia, hiyo lazima, itawapa kihoro ma ccm, yafe yote ma ccmHuko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Mtu akishangilia kifo cha rafiki yake hakika ni mbaya. Je, kushangilia kifo cha adui yake kuna ubaya gani??Mtu anayeshangilia kifo cha mwengine ni hamnazo fulani
DGIS, IGP, CDF hawa ni watu wa administration tu hakuna missions wanaweza shiriki kwa umri wao na kujulikana kwao na jamii.Kifo kitu cha kawaida tu, Ila, kama katunguliwa na anko Kagame, akiwa kwenye mission ya inteligensia, hiyo lazima, itawapa kihoro ma ccm, yafe yote ma ccm
Vp kama aliyekufa ni adui yao??Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
Hiyo taaruki imetokea wapi ?Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Watu hawawezi kusikitika wote wala kufurahia wote kwa kifo cha mtu mwenye cheo, kwasababu cheo ni lawamaHuko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.