Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

Vijana wa siku hizi wana maisha mafupi sana , wamejaa laana, hawana hofu ya aina yyte. Wazushi waso na haya. Watu gani wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao ht ingekuwa kwl. Wanaharamu hao.
Na ikawe kweli basi. Wale mnaowashilia kule magerezani kwa kesi za kubambikizia siyo binaadamu??
 
Watanzania kwa kuzua yasikokuwepo ni kawaida yao,
1. Walizusha kwamba makamu wa rais kafariki.
2. Walizusha RC wa Arusha roho na mwili kutengana.
3. Walizusha kuhusu Makamu mwenyekiti wa ccm kwamba katangulia.
Hayo yote hayakuwa ukweli bali uzushi
Unafikiri sababu za wao kufanya hivyo hasa ni nini??
 
Siri zenyewe ni wizi 😂😂😂
 
Kenya siku hizi watalii wanaenda kuona wanyama, Mlima Kenya na gen zee

That is how low gen zege wamekua

Ila huku tunakoenda, kuna baadhi ya vifo watu wanaweza kufanya sherehe kubwa sana. Chuki imesheheni kila sehemu
 
Kifo kitu cha kawaida tu, Ila, kama katunguliwa na anko Kagame, akiwa kwenye mission ya inteligensia, hiyo lazima, itawapa kihoro ma ccm, yafe yote ma ccm
 
Kifo kitu cha kawaida tu, Ila, kama katunguliwa na anko Kagame, akiwa kwenye mission ya inteligensia, hiyo lazima, itawapa kihoro ma ccm, yafe yote ma ccm
DGIS, IGP, CDF hawa ni watu wa administration tu hakuna missions wanaweza shiriki kwa umri wao na kujulikana kwao na jamii.
 
Watu hawawezi kusikitika wote wala kufurahia wote kwa kifo cha mtu mwenye cheo, kwasababu cheo ni lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…