Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #21
Je serikali inawaogopa?Tulisema asipozibitiwa veronica france musiba mulaga Majura ataleta uzushi mwingi Sana yeye ndo chanzo cha zushi hizi ni baada ya salio kukata,maana aliwekeza sana tumaini lake kwa mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ambae siku zake si nyingi za kuishi duniani.
Hata huko zina athari kubwa sio za kupuuzwahizo habari utazikuta kwenye page za wajasiliamali wasaka viewers huko YouTube na fesibuku na wala sio kwenye serious media.
Ata mimi naamini hivoMada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Hivi Magufuli hakutakiwa kufa?Hata Chacha Wangwe walisemaga hivihivi!
Haya mambo huchochea chuki sana.
Mleta mada atakujibu!Hivi Magufuli hakutakiwa kufa?
Kuondoa YouTube si kazi ndogo ndugu yangu...kama ni kuwakemea wakemewe tu, wasihndwe na Walegee...kumbuka hata kwa Nyerere mtu wa family alitoa madai haya haya na tena hadharani...hakuna YouTube kuondolewa wala nini... ni kuwaacha wateme nyongo hadi makoo yao yatulie huu ndio utaratibu duniani humu...toka enzi na enzi-Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Mhusika wa kwanza ni Cyprian Musiba akiminywa kende atataja wenzakeMada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Mleta mada njoo unijibu huku!Mleta mada atakujibu!
Naikumbuka habari hii, hakuna aliyechukuliwa hatua hadi leoHata Chacha Wangwe walisemaga hivihivi!
Haya mambo huchochea chuki sana.
Nadhani ni kifo tu?Hata Chacha Wangwe walisemaga hivihivi!
Haya mambo huchochea chuki sana.
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Kuna mchaga mmoja alikuwa dereva wa Chacha alihukumiwa nadhani!Naikumbuka habari hii, hakuna aliyechukuliwa hatua hadi leo
Huyu kafa kwa mfumo wa umeme wa Moyo Pacemaker basi. Hayo mengine unalazimisha wewe. Hakuna Mtu duniani aliwahi kuishi na kifaa Cha pacemaker kwa zaidi ya miaka 10. Kama yupo tupe jina lake na nchi yake.Naona watu wapo busy kutaka file la namna JPM alivyokufa lifutwe. Sasa litafutwaje kwa mfano.
Rais kututangazia kwamba kilichomuua JPM ni tatizo la mfumo wa moyo lilomsumbua kwa zaidi ya miaka 10, haiondoi nadharia kwamba inawezekana kuna mkono wa mtu/watu waliotumia hilo tatizo la moyo kuharakisha kifo chake. Yote katika yote ni kwamba lazima udadisi ufanyike, za kuambiwa changanya na za kwetu.
Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Kwa udereva Mbovu na kuendesha bila leseni na Sio kwa kuua. Kumbuka alidaiwa kuuawa kijasusi, lakini jasusi yupi kakamatwa?Kuna mchaga mmoja alikuwa dereva wa Chacha alihukumiwa nadhani!
Yaani badala ya kufikiria kutatua kero za wananchi (siyo wanyonge),serikali ipoteze muda,rasilmali kushughulikia "dikteta uchwara" aliyejitakia kuharibu mahusiano yake na kila mtu????????!!!!!!! Ni mtu "mjinga sana" awezaye fanya hivyo.Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Habari za uzushi na kukumbusha watu mpendwa wao utagawa jamii