Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Tulisema asipozibitiwa veronica france musiba mulaga Majura ataleta uzushi mwingi Sana yeye ndo chanzo cha zushi hizi ni baada ya salio kukata,maana aliwekeza sana tumaini lake kwa mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ambae siku zake si nyingi za kuishi duniani.
Je serikali inawaogopa?
 
hizo habari utazikuta kwenye page za wajasiliamali wasaka viewers huko YouTube na fesibuku na wala sio kwenye serious media.
Hata huko zina athari kubwa sio za kupuuzwa
 
Huyu bwana alikufa kwa sababu ya uoga wake wa kwenda kutibiwa kwa mabeberu,sijui hofu yake ilikuwa mini,mbona Mugabe alikuwa hapatani na wazungu lakini alikuwa anaenda kutibiwa Singapore na hawakumdhuru
 
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.

Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.

Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.

You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.

Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.

Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Ata mimi naamini hivo
 
Kuondoa YouTube si kazi ndogo ndugu yangu...kama ni kuwakemea wakemewe tu, wasihndwe na Walegee...kumbuka hata kwa Nyerere mtu wa family alitoa madai haya haya na tena hadharani...hakuna YouTube kuondolewa wala nini... ni kuwaacha wateme nyongo hadi makoo yao yatulie huu ndio utaratibu duniani humu...toka enzi na enzi-
But
Kukata mzizi wa fitna, dawa ni kufanya uchunguzi huru utako husisha toxicologists mabingwa wa sumu... Mama aunde tu tume huru na watu wapeleke ushahidi... na tuome mwisho wa derby hii... ila sidhani kama atafanya maana si utaratibu maana vilio ni vingi toka kwa watu wengi Hassan nduguze waliopotezwa...ni kama ile methali ya ukiuwa kwa upanga- utakufa kwa upanga... kufukua makaburi ni shida yana hewa nzito- wachimbuaji watapata Changamoto ya kupumua
 
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.

Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.

Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.

You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.

Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.

Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Mhusika wa kwanza ni Cyprian Musiba akiminywa kende atataja wenzake
 
Naona watu wapo busy kutaka file la namna JPM alivyokufa lifutwe. Sasa litafutwaje kwa mfano.

Rais kututangazia kwamba kilichomuua JPM ni tatizo la mfumo wa moyo lilomsumbua kwa zaidi ya miaka 10, haiondoi nadharia kwamba inawezekana kuna mkono wa mtu/watu waliotumia hilo tatizo la moyo kuharakisha kifo chake. Yote katika yote ni kwamba lazima udadisi ufanyike, za kuambiwa changanya na za kwetu.

Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
 
Mama Mkulu alishatoa matamko wenye ushahid wapeleke kwahiyo mjadala huu ulisha sinzia
 
We mwenyewe ID yako umeificha ili husijulikane kwan unafaa sana kusaidia upelelezi wa suala hili sasa hao wauaji wadhan watajulikanaje??
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.

Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.

Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.

You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.

Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.

Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
 
Naona watu wapo busy kutaka file la namna JPM alivyokufa lifutwe. Sasa litafutwaje kwa mfano.

Rais kututangazia kwamba kilichomuua JPM ni tatizo la mfumo wa moyo lilomsumbua kwa zaidi ya miaka 10, haiondoi nadharia kwamba inawezekana kuna mkono wa mtu/watu waliotumia hilo tatizo la moyo kuharakisha kifo chake. Yote katika yote ni kwamba lazima udadisi ufanyike, za kuambiwa changanya na za kwetu.

Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Huyu kafa kwa mfumo wa umeme wa Moyo Pacemaker basi. Hayo mengine unalazimisha wewe. Hakuna Mtu duniani aliwahi kuishi na kifaa Cha pacemaker kwa zaidi ya miaka 10. Kama yupo tupe jina lake na nchi yake.
 
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.

Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.

Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.

You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.

Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.

Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Yaani badala ya kufikiria kutatua kero za wananchi (siyo wanyonge),serikali ipoteze muda,rasilmali kushughulikia "dikteta uchwara" aliyejitakia kuharibu mahusiano yake na kila mtu????????!!!!!!! Ni mtu "mjinga sana" awezaye fanya hivyo.
 
Back
Top Bottom