Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
LICENSE TO KILL: Maslahi mapana ya taifa yanapozingatiwa!
Kutoa roho ya mtu ni tofauti kabisa na kutoa roho ya mnyama ama mdudu. Kwa mnyama sana sana unaweza kulipishwa fidia hasa kama mnyama mwenyewe ni kwa ajili ya utalii. Kutoa roho ya mtu ukiachana na ule ugomvi wa papo kwa papo kunahitaji maandalizi yake! Na wengi kwenye hayo maandalizi hukosea...
LICENSE TO KILL: Maslahi mapana ya taifa yanapozingatiwa!