Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Mada hapo juu inaeleweka vizuri.

Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.

Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.

You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.

Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.

Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.

LICENSE TO KILL: Maslahi mapana ya taifa yanapozingatiwa!
 
Kashfa za kipuuzi sana hizo na wajinga wengi wanaziamini na wengi wao wanaamini Vasco pia ni muhusika.
Baadhi ya wadau hapa wamekuwa wakisema Karma, Karma, Karma, tena hapa hapa duniani! Pamoja na mwendazake Dktt Magufuli kufanya kila aliloweza kuirejesha Tz kwenye enzi za old stone age, mimi siku zote nilikuwa nikielekeza lawama kwa Vasco na kuomba Muumba ampatie Karma yake akiwa hapa hapa duniani. Ninashukuru ameanza kuionja. Vasco alimfahamu vizuri sana Jiwe kuwa alikuwa ha-fit kwenye hiyo nafasi lakini bado akakubali awe rais ili kutukomoa. Sasa ngoja na yeye wazee wa ligasi wampe mgao wake.
 
Je kazi ya Internet Jammer ilikuwa Ni nini?

Like gari jeusi lenye mitambo
Hiyo internet jammer alikuwa anatembea nayo popote alipokuwa hata ndani ya ofisi, hebu jiongeze.

Kwa sasa jtalaamu uliojificha umo ndani ya cyber-security intelligence, cybercrime, cyberspace na artificial intelligence, kama hilo gari unalolitaja halikufanya kazi hizo, hapo ndipo penye upenyo tambua hilo
 
Hawa viongozi wezi tulionao Africa ndo saizi yetu

Afrika haipaswi kua na viongozi wenye akili na wazalendo kwasasa

Ni rahisi sana kuuwawa ndani ya nchi yako, ukiwa Kiongozi mzalendo ndani ya kizazi hiki,

NB: kizazi hiki hakikupaswa kuongozwa na Magufuli
Kwa kuwa magufuli alikuwa mwongo na mbabaishaji
 
Baadhi ya wadau hapa wamekuwa wakisema Karma, Karma, Karma, tena hapa hapa duniani! Pamoja na mwendazake Dktt Magufuli kufanya kila aliloweza kuirejesha Tz kwenye enzi za old stone age, mimi siku zote nilikuwa nikielekeza lawama kwa Vasco na kuomba Muumba ampatie Karma yake akiwa hapa hapa duniani. Ninashukuru ameanza kuionja. Vasco alimfahamu vizuri sana Jiwe kuwa alikuwa ha-fit kwenye hiyo nafasi lakini bado akakubali awe rais ili kutukomoa. Sasa ngoja na yeye wazee wa ligasi wampe mgao wake.
sisi wananchi wa kawaida wala maisha yetu hayakuumizwa sana ila hao akina Vasco Dagama na Akina Marope waliobatizwa kwa moto wameipata sana. Cc Nape na Kinana
 
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.

Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.

Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.

You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.

Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.

Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Kwa nini nguvu kubwa inatumika kupinga. Basi ni kweli kauwawa na hao watu wakubwa😎
 
Huu si ndo uhuru wa Habari tunaoutaka?
 
Musiba amechanganyikiwaa
 
sisi wananchi wa kawaida wala maisha yetu hayakuumizwa sana ila hao akina Vasco Dagama na Akina Marope waliobatizwa kwa moto wameipata sana. Cc Nape na Kinana
Eeh ni kweli sisi watu wa kawaida wala hatukuona ubaya wowote wa Magufuli zaidi ya kusikia tu wengine wakiponda. Tunafanya kazi zetu mambo yanaenda
 
katika maisha yangu huwa naamini nafsi huwa haiwezi kutulia mpaka mwili uweze kutafsiri kwa umakini inachoamini! kinachowasumbua watu ni kwanini walifichwa kuhusu ugonjwa wake na kwanini augue mda mfupi na kufa haraka!
lakini vinginevyo wengi wameshakubali jamaa amefariki na si vinginevyo!
tujipange tujenge taifa kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania nanung'uniko yanatuchelewesha hatuwezi badili kitu lazimisha nafsi ikubali yameisha
 
Kwani si alikuwa analindwa na ndugu zetu wale warefu hao wauaji wangepenyea wapi
 
Huyu ndiye Veronica France anayechukiwa na Freed Freed.✈⛴🛤💎🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Nisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui. Ni kuguswa tu na Roho mtakatifu nashindwa kuwataja. Tumechezewa mno Ndiomaana anayasema haya hadharani ndugu zangu yakwamba tumechezewa mno. Ila nataka niwahakikishie ktk awamu hii y 5 chini ya Uongozi wang HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha Lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU,!! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu !!? Na ndiomaana Nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania ,!! 🇹🇿 Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania,!! 🇹🇿 Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu😣 🇹🇿. Na ndiomaana yaliandikwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania 🇹🇿. Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite Duniani Tz imepata asilimia tano ( 5.% ) Asilimia tisini na tano ( 95.% ) zimeliwa na wengine wa nje. Mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili,!? Sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini,!? Kama sitazungumza huu uwozo hadharani,? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani,? 7bu ya Maisha yangu,!? Si nafuu nizikwe Kaburini lakini niuseme ukweli wa tz waujuwe.✔ Kwahyo ninataka kuwaambia ndugu zangu Vita ya Uchumi💲 ni ngumu zaidi kiliko Vita y kawaida🔫🏹. Kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure,,!! Na kuwadharau wt 🇹🇿 ni Mambumbu Wapumbavu Wajinga,, Si jambo rahisi. Na ndiomaana nawaomba sana wote tusimame kw pamoja tuwe wa moja Tupiganie ma haki zetu. Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina Damu, Au sio kwamba mimi sipendi hela,. NAJUWA MKIAMUA TUTAFIKA. 👏👏👏 R.I.P. JPM🙏🙏🙏 SIMBA WA VITA🇹🇿😂😂😂💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐 Mwamba wa Africa.🙌🙌
 
Huyu ndiye Veronica France anayechukiwa na Freed Freed.[emoji574][emoji925][emoji923][emoji184][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1241][emoji1241]Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Nisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui. Ni kuguswa tu na Roho mtakatifu nashindwa kuwataja. Tumechezewa mno Ndiomaana anayasema haya hadharani ndugu zangu yakwamba tumechezewa mno. Ila nataka niwahakikishie ktk awamu hii y 5 chini ya Uongozi wang HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha Lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU,!! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu !!? Na ndiomaana Nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania ,!! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania,!! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndiomaana yaliandikwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241]. Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite Duniani Tz imepata asilimia tano ( 5.% ) Asilimia tisini na tano ( 95.% ) zimeliwa na wengine wa nje. Mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili,!? Sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini,!? Kama sitazungumza huu uwozo hadharani,? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani,? 7bu ya Maisha yangu,!? Si nafuu nizikwe Kaburini lakini niuseme ukweli wa tz waujuwe.[emoji818] Kwahyo ninataka kuwaambia ndugu zangu Vita ya Uchumi[emoji765] ni ngumu zaidi kiliko Vita y kawaida[emoji379][emoji1018]. Kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure,,!! Na kuwadharau wt [emoji1241] ni Mambumbu Wapumbavu Wajinga,, Si jambo rahisi. Na ndiomaana nawaomba sana wote tusimame kw pamoja tuwe wa moja Tupiganie ma haki zetu. Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina Damu, Au sio kwamba mimi sipendi hela,. NAJUWA MKIAMUA TUTAFIKA. [emoji122][emoji122][emoji122] R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] SIMBA WA VITA[emoji1241][emoji23][emoji23][emoji23][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253] Mwamba wa Africa.[emoji119][emoji119]
The man see seven steps ahead.. now we go back 14 steps.[emoji7][emoji41][emoji849][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom