Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Acheni kulia lia.Mumebanwa kwa hoja.Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu? Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
Haya maneno waambie wale wagalatia.Ni mjinga tu atakayeamini Dubai kuna Waislam!
Wamebanwa kwa hoja.Ndio.wanalia lia.Hilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Acheni kulia lia.Wanahisi wanamkingia kifua muislamu mwenzao wa pale Ikulu
Hao huwa wapumbavuHilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Wanalia lia,wamebanwa kwa hoja.Wagalatia wakiongea wanaona sawa ila wengine wakiongea ndio uchochezi,halafu hawa hawa ndio kila siku wanadai uhuru wa maoni,haya ni maajabu aisee.
Hao Wagalatia ndio Wauzaji wakubwa wa Pork huko Dubai 😂Haya maneno waambie wale wagalatia.
Acha kulia lia.Soma uelewe wewe maamuma kuna kiongozi wa kikristo umeona kausema uislamu kama sheikh wa mwanza alivyo usema ukristo?
Hoja za serikali zijibiwe na serikali nansio viongozi wa dini ndio hoja yangu.
Au ndio maana mnafundisha karate watoto huko kwenye shule zenu kwa vile mnaitafuta vita na wakristo?
Inasikitisha sana, mtoa mada kasema wakutoa majibu ya serikali ni serikali na sio viongozi wa dini! Hivyo hili swala lisifumbiwe macho wapigwe marufuku!!Wagalatia wakiongea wanaona sawa ila wengine wakiongea ndio uchochezi,halafu hawa hawa ndio kila siku wanadai uhuru wa maoni,haya ni maajabu aisee.
Umemjibu vizuri.Wamebanwa hawana hoja,wanalia lia.Mbona viongozi wa dini ya upande wa pili ndio wanapinga zaidi hii issue? Jiulize hilo hilo swali ulilojiuliza,au kwa vile ni kampuni ya Dubai? Au kwa vile ni wa dini ingine?
Apa ndio napaona mwisho wa ccm 2025 avukiNaona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo
Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali
Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa
Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii
Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali , majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali
Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile
Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi.
NAWASILISHA
Usiwe mpumbavu kiasi hichi bandari sio ya waislam au wakristo hili ni swala la kitaifa watanzania wote waliousoma mkataba huu wanapinga mkataba huuMbona viongozi wa dini ya upande wa pili ndio wanapinga zaidi hii issue? Jiulize hilo hilo swali ulilojiuliza,au kwa vile ni kampuni ya Dubai? Au kwa vile ni wa dini ingine?
Wewe Dubai unaiona kwenye picha tu wala huijui,so u better shut the fk,Hao Wagalatia ndio Wauzaji wakubwa wa Pork huko Dubai 😂
Acha kulia liaWatanganyika nao wameamka! Penye moshi kuna moto unawaka.
Wewe choko unawashwa? Umesoma comment yangu na kuielewa? Unajua matumizi ya question mark?Usiwe mpumbavu kiasi hichi bandari sio ya waislam au wakristo hili ni swala la kitaifa watanzania wote waliousoma mkataba huu wanapinga mkataba huu
Wamebanwa kwa hoja,!wameanza kulia lia.Tumia lugha ya staha,huko unapoelekea najua hutapaweza.
Nawajua wachagga Wengi wenye Mashamba ya nguruwe Moshi na Wanaishi DubaiWewe Dubai unaiona kwenye picha tu wala huijui,so u better shut the fk,
Ndio waambie kua Dubai sio waislamu,so waache kupinga.
Huu ndio ukweli. Wamebanwa na hoja,wamebakia kulia lia.Hiyo ndio freedom of speech,vumilia tu ndio ilivyo,au wengine hawana hiyo freedom of speech? Au unataka kuwapangia chakuongea?