Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu? Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
Acheni kulia lia.Mumebanwa kwa hoja.
 
Hilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Wamebanwa kwa hoja.Ndio.wanalia lia.
 
Soma uelewe wewe maamuma kuna kiongozi wa kikristo umeona kausema uislamu kama sheikh wa mwanza alivyo usema ukristo?

Hoja za serikali zijibiwe na serikali nansio viongozi wa dini ndio hoja yangu.

Au ndio maana mnafundisha karate watoto huko kwenye shule zenu kwa vile mnaitafuta vita na wakristo?
Acha kulia lia.
 
Wagalatia wakiongea wanaona sawa ila wengine wakiongea ndio uchochezi,halafu hawa hawa ndio kila siku wanadai uhuru wa maoni,haya ni maajabu aisee.
Inasikitisha sana, mtoa mada kasema wakutoa majibu ya serikali ni serikali na sio viongozi wa dini! Hivyo hili swala lisifumbiwe macho wapigwe marufuku!!

SAsa Hapo huelewi nini wewe kijukuu cha mtume? Au unacho jua ni Quran tu! Vingine havikuhusu?
 
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo

Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali

Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa

Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii

Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali , majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali

Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile

Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi.
NAWASILISHA
Apa ndio napaona mwisho wa ccm 2025 avuki
 
Mbona viongozi wa dini ya upande wa pili ndio wanapinga zaidi hii issue? Jiulize hilo hilo swali ulilojiuliza,au kwa vile ni kampuni ya Dubai? Au kwa vile ni wa dini ingine?
Usiwe mpumbavu kiasi hichi bandari sio ya waislam au wakristo hili ni swala la kitaifa watanzania wote waliousoma mkataba huu wanapinga mkataba huu
 
Wewe Dubai unaiona kwenye picha tu wala huijui,so u better shut the fk,

Ndio waambie kua Dubai sio waislamu,so waache kupinga.
Nawajua wachagga Wengi wenye Mashamba ya nguruwe Moshi na Wanaishi Dubai

Waislam wako Afghanistan Iran Palestine na Somalia
 
Back
Top Bottom