Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Hii sasa ndio imekuwa mijadala muhimu, siyo humu JF tu, bali hata nje ya hapa.

Lakini tusifanye kama tunajisahaulisha maswala ya namna hii yanapotokea, na mara nyingine kuonekana kama hayapo.

Hii siyo mara ya kwanza nchini hapa kuwepo na hali ya namna hii.
Ni swala la kurudi tu nyuma na kujikumbusha miaka michache iliyopita hali ilikuwaje.

Binafsi nalaumu siasa za nchi yetu zinavyo palilia hali ya namna hii kwa vyama vya kisiasa kujihusisha kwa njia moja au nyingine na maswala haya ya kidini. Maoni yangu ni kuwa siasa ziondokane moja kwa moja na kujihusisha na maswala yoyote yanayozihusu dini za aina yoyote.
 
Nasikia kesho kwenye mkutano wa CDM watakuwepo wachungaji sijui mapadri, wasemaje ktk hilo
 
Elimu Elimu Elimu
 
Hili kweli,, Wengine hawajui Hata mkataba Wao wanawaza Dini,,Kwa Hiyo wa Dini Yangu nikimkosoa ATI akosoa Dini.. Huu Ni utoto Sasa
 
Roman Catholic church ndie mmiliki halali WA jamuhuri ya muungano WA tz πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Hao wengine wasikupe presha mkuu we endelea Kunywa bia na kitimoto pembeni hii nchi ni yenu hakuna WA kuwapora
 
Nini kimetokea mkuu? Na kimetokea wapi?
 
Wakati mwingine msimung'unye maneno. Semeni TISS, ndyo wenye nchi
 
Akili yao inawatuma kwamba wakimkataa Mwarabu wameikataa dini, Kumbuka Waarabu wana umoja wao wa nguvu, wewe mtu mweusi wanakuona kinyago tu. 😑😑
 
Rais Samia anawafurahia waropokaji akidhani wanamsaidia kumbe wanamharibia.

Kinachofanywa na mashekhe ktk awamu ya 6 ndiyo kilifanywa na Cyprian Misiba awamu ya 5.

Mama amepwelewa na kiti kimemperepweta.
 
Ficha na wew ujinga wako ,mjing mjinga tu
Umeshapanic πŸ˜‚πŸ˜‚

Dubai ni eneo Huru hakuna cha Dini wala nini wale ni Watu wa Biashara!

Ukitaka Dini nenda Afghanistan Iran Palestine Somalia na Vatican na Israel
 
Nchi inayumba sana, tumekabidhi mamlaka kwa watu mipasho, akili kisoda, kufia dini 100%, Uhujumu 100%, Uzanzibar 100% lets take care anything may happen seeems they dont carel
 
Mumebanwa, mpaka mwaanza kulia lia.Mtalia sana
Muislamu anaweza kumbana Mkristo kweli au ni hekima tu inatumika.Mnafikiri Wakristo wakiamua kuwaweka mtu kati,mnadhani mtakuja kumuona Muislamu pale Ikulu.Nyie shukuruni tu Wakristo wa Tanzania wana hekima lakini wakiamua kuikalia hii nchi kila kona na msipumue wanaweza sana,jidanganyeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…