Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Mungu wetu ndie wa thamani kuliko taifa lolote.
Ila usalama wa TAIFA lolote ni zaidi ya dini yoyote ile.
Tukomeshe hizi chuki za kidini.
 
Mtoa hoja uko sahihi, mimi pia, kiukweli, huwa sipendi hii tabia. Mara nyingi mimi naogopa hata kuzifungua clips za watu wa dini kwa kuogopa nitakayoyakuta huko. Lakini ungekuwa sshihi zaidi kama ungeenda 'deep' zaidi kwa kuangalia chanzo halisi haswa cha hali hii na kulisemea kuanzia huko.
Chunguza vizuri nyakati na aina ya makemeo yanayotoka kwa viongozi wetu wa dini kwenda kwa serikali. Kuna nyakati kiongozi mkuu wa serikali hana nafasi wala pumzi ya kupumua katika mipango yake ya kimaendeleo kama kiongozi. Kila mpango wake wowote wa kimaendeleo (kiuchumi) huingiliwa kwa lundo (rundo?) la waraka na matamko......yaani ni kama hakuna kuaminika na wao wanajivika u'filters' wa kila mpango wake. Nyumba za ibada na siku za ibada huwa maalum kwa matamko kila baasa ya sala. Haya hufanyika kijanja sana chini ya 'usomi' na 'uchambuzi' ulioshiba tu......kipengele kwa kipengele.

Wakati huo huo kuna nyakati mtawala mkuu hupata relief......ataingiliwa kwa mengine tu tena very partially lakini mipango yake ya nini akusanye na kivipi hata haijadiliwi sana. Shwari hutamalaki na mtawala hupata haki ya kutawala. Hayo, mtoa mada, kwa kujua au kutokujua, ndiyo yanayotuletea hali kama hizi unazozikemea sasa.

Nachukia haya mambo kwakweli.
 
Tuwaache watu waongee, wakuisema serikali waiseme, wakuitetea waitetee.

Mara zote ujinga hupuuzwa na mwenye hoja yenye mashiko watu tutaona.

Kwenye Uhuru wa kujieleza tunatakiwa tuvumiliane na tusipangiane nani aongee nini na nani hatakiwi kuongea nini.

Atakayejaribu kumdhuru mtanzania mwenzake atashughulikiwa ipasavyo.
 
Tafiti zisizo rasmi zinaonyesha kuwa mahali popote palipoenezwa utaahira wa upande wa kwanza, kuna vitendo vingi sana vya usodoma na ughomora kuliko kwenye ustaarabu wa upande wa pili.
Yaani si kwa "me" kumfanyia "me" mwenzake tuu, bali hata kwa "me" kumfanyia "ke" wakidai ni "sunna".

Imani za kitaahira.
Wewe kweli punguani,unasema tafiti zisizo rasmi halafu unaendelea kubwabwaja? huko kwa mnao waabudu wao wanasapoti LGBTQ na wanalazimisha mataifa mengine pia wawafuate wao,

Vipi kuhusu imani ya kukanyaga mafuta ya upako ili uwe tajiri bila kufanya kazi yenyewe sio imani ya kitaahira?
 
Kama yule afande wa swala tano?mlivyo wanafiki kama hamjui vile.Zenji na pwani yote hadi mombasa ndio mchezo wenu.
Walikufanyaje huko Mombasa? tupe ushuhuda usione aibu ili tujue tunaanzia wapi kukusaidia ili urudi kwenye uhalisia wako.
 
Mwarabu unatetea nini wewe rudi kwenu. Tz hatuna uasili wa ngozi nyeupe we tuachie nchi yetu bhana na haina dini hii. Hii nchi ni ya watu weusi na siyo weupe ama machotara, hivyo kwenye mambo ya nchi yetu mkae pembeni. Mnakuja kutalii mnazamia kabisa
Haya nenda kampikie chai mumeo coz upupu uliokua unakuwasha umesha umwagia hapa.
 
Walimpambania Kikwete mwaka 2010 , akaishia kuwageuka na kuwasweka ndani kama njugu. Mpaka leo hii kuna masheikh lukuki wako jela tangu wakati wa Kikwete.
 
Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu?

Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
Ujinga ndugu yangu na labda ukosefu wa elimu, probably kwao wanaona sawa DP World kutunyonya sababu Dubai ni nchi ina waarabu ambao ni waislam, it's okay kwao. Its their brothers and sisters 😂😂😂😂😂

Wanasahau kwamba mapato ya bandari na bandari yanafaidisha watz wote bila kuangalia dini ya mtu na hao DP World whatever watakachovuna kitaenda kufaidisha waarabu na waislam wa Dubai na UAE.
 
Serikali ina vyombo vyote vya maamuzi na uwakilishi kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba.

Viongozi watekeleze maono yao, hizi kelele sio za kuzijali wenye malalamiko wameshaenda mahakamani.

Hii nchi tusipofuata sheria na taratibu haitatawalika
 
Shida ya Masheikh wetu hua wanajiona waarab, utaikuta ana rafudhi ya kisukuma ila anapotoa mawaidha rafudhi inabadilika kabisa unaweza his kazaliwa na kukulia Mecca. Utumwa wa kifikra unaitesa Africa.
 
Typing error tu.... KWa mwamposa asilimia kubwa wanapenda ni ummat Mudy....
Mnapenda kusingizia typing error kuficha ujinga wenu,una mengi ya kujifunza kabla ya kujadili na watu wenye akili zao,
nenda kanunue chumvi ya upako kisha urudi kulala huku ukisubiri utajiri wa kimiujiza.
 
Au sio, islamic professor.... Mwenye kujua kiarabu ambacho sio kiarabu....
 
Shida ya Masheikh wetu hua wanajiona waarab,utaikuta ana rafudhi ya kisukuma ila anapotoa mawaidha rafudhi inabadilika kabisa unaweza his kazaliwa na kukulia Mecca. Utumwa wa kifikra unaitesa Africa.
Kama wale wa upande ule hua wanajiona wazungu kabisa wamezaliwa Vatican,akianza kuhubiri anabadili na lafudhi utafikiri ni mzungu aliye zaliwa Vatican.
 
Mtoa hoja uko sahihi, mimi pia, kiukweli, huwa sipendi hii tabia. Mara nyingi mimi naogopa hata kuzifungua clips za watu wa dini kwa kuogopa nitakayoyakuta huko. Lakini ungekuwa sshihi zaidi kama ungeenda 'deep' zaidi kwa kuangalia chanzo halisi haswa cha hali hii na kulisemea kuanzia huko.
Chunguza vizuri nyakati na aina ya makemeo yanayotoka kwa viongozi wetu wa dini kwenda kwa serikali. Kuna nyakati kiongozi mkuu wa serikali hana nafasi wala pumzi ya kupumua katika mipango yake ya kimaendeleo kama kiongozi. Kila mpango wake wowote wa kimaendeleo (kiuchumi) huingiliwa kwa lundo (rundo?) la waraka na matamko......yaani ni kama hakuna kuaminika na wao wanajivika u'filters' wa kila mpango wake. Nyumba za ibada na siku za ibada huwa maalum kwa matamko kila baasa ya sala. Haya hufanyika kijanja sana chini ya 'usomi' na 'uchambuzi' ulioshiba tu......kipengele kwa kipengele.

Wakati huo huo kuna nyakati mtawala mkuu hupata relief......ataingiliwa kwa mengine tu tena very partially lakini mipango yake ya nini akusanye na kivipi hata haijadiliwi sana. Shwari hutamalaki na mtawala hupata haki ya kutawala. Hayo, mtoa mada, kwa kujua au kutokujua, ndiyo yanayotuletea hali kama hizi unazozikemea sasa.

Nachukia haya mambo kwakweli.
Nakumbuka magufuli alipigwa sana na kina askofu bagonza,mwamakula,shoo,kakobe na wengine wengi tuu hadi wengine wakataka kupewa kesi za uraia

lakin hatukuwa tukiwasikia wenzetu waislam wakitoa neno ,kwanini sasa wamegeuka kuwa wasemaji wa serikali? Tena kwa kuwasema direct wakristo kitu ambacho hakijafanywa na askofu yeyote dhid ya uislam.
 
Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu?

Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
Tatizo la Maaskofu hawa TEC waliufyata Sana enzi za kilele cha ukatili wa Jiwe
Enzi Jiwe anaua watu hovyo, enzi Jiwe anapora Passport Hadi za Ma Padre
TEC walikaa Kimya
Sisemi kuwa Kwa sasa kuhoji kwao kuna tatizo, Ila the fact kuwa enzi za uvunjifu wa Haki za Binadamu unafanywa na Jiwe, hawakukemea hata kidogo, sinawapa Mahasimu wao, ma Sheikh Ubwabwa kusema Kwa sasa wanaongea Kwa sababu Raisi ni Muislam.

It's either walijawa na hofu ama walikuwa wanaunga Mkono uhuni wa Jiwe.
Mimi naamini walijawa na hofu,
Inawezekana kabisa Kwa sasa wanapata Unafuu Kwa Sababu hawana hofu, ndio wanasema
TEC wajitafakari, inafaa siku Zote wawe Sauti ya watu bila Kuogopa.
Ona sasa wanawapa credits wahuni , Ma Sheikh Ubwabwa kuwabagaza
 
"Vya Kaisari Mpeni Kaisari”

1Wakorintho 13:3 “KWA MAANA WATAWALAO HAWATISHI WATU KWA SABABU YA MATENDO MEMA, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? FANYA MEMA, NAWE UTAPATA SIFA KWAKE;

4 kwa kuwa yeye ni MTUMISHI WA MUNGU KWAKO KWA AJILI YA MEMA…”

1Wakorintho 13:6 “KWA SABABU HIYO TENA MWALIPA KODI; KWA KUWA WAO NI WAHUDUMU WA MUNGU, WAKIDUMU KATIKA KAZI IYO HIYO.

7 Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima”.
 
Back
Top Bottom