Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Serikali ichukue hatua isibariki kauli za kichochezi hata kama ni za mlengo wao ,haya ya kidini yabaki huku huku mtaani ila yasipewe nguvu na serikali
CCM wako tayari hata kukuua as far as interests zao zitakua poa
 
Kwa hiyo umeamua kuwa mpiga fitina na majungu siyo? Watu wa kudhibitiwa ni maaskofu wanaochanganya dini na siasa baada ya kuhongwa vipande 30 vya fedha.
 
WAKRISTO wanapinga DP WORLD na waislamu wanaunga DP WORLD,na haya ya uchochezi unayaleta wewe
 
Inasikitisha sana, mtoa mada kasema wakutoa majibu ya serikali ni serikali na sio viongozi wa dini! Hivyo hili swala lisifumbiwe macho wapigwe marufuku!!

SAsa Hapo huelewi nini wewe kijukuu cha mtume? Au unacho jua ni Quran tu! Vingine havikuhusu?
Unasahau kua serikali ni watu na watu ndio Sisi na hao mashekh na maaskofu,ondoa mavi hayo kichwani
 
Mashehe Ubwabwa

ELIMU 0

KIARABU HAWAJUI.

Wapo wapo tu SHENZ33333 ZAO kabisa.
 
Wagalatia wanaongelea vipengele vibovu vya Mkataba ,sio Kwa sababu Mkataba ni baina ya Serikali na Waarabu/ Waislam!
Mlishaambiwa mkataba utapitiwa na penye mapungufu patarekebishwa,shida yenu wala nguruwe ni chuki ya DINI
 
Mwambie hajui,,tatizo Elimu akasome historia ya dunian,,Mpaka Leo hajui anateongoza Dunia,,Akamuulize Gaddafi,, Pia aende Israel Huko ataona
 
Elimu nzuri bila akili kichwani na kazi bure,ndio maana rahisi sana kuona mwanaume na mwanaume wanaozeshwa/wanafungishwa ndoa kanisani
 
Akili yao inawatuma kwamba wakimkataa Mwarabu wameikataa dini, Kumbuka Waarabu wana umoja wao wa nguvu, wewe mtu mweusi wanakuona kinyago tu. 😡😡
Duuuuh,hawa wenye vinasaba na wazungu bhana,umeeleweka MZUNGU WA CHATO
 
Ni kama ukimsema MZUNGU unamsema MKRISTO,hivi huu ujinga mtauacha lini WAKRISTO?
 
Huyo mtoa mada ni MKRISTO flani MPUUZI hivi, wala asikufikirishe
 
Hata kwenye uzi kumejaa mabishano na mashutumu juu ya dini mbili...
 
Kutumia neno "wagalatia" kumaanisha wakristo ni upotofu sana.Sitaki kuamini na wewe unataka kupotoka.Ni aina ya kukashifu wengine.
Akili zako zinakaa maeneo gani kwenye mwili wako,unapokashfu wenzio na wewe uwe tayari kukashfiwa
 
WAKRISTO wanapinga DP WORLD na waislamu wanaunga DP WORLD,na haya ya uchochezi unayaleta wewe
Wapo waislam wenye akili nao wanapinga ila wengi wa wanao unga mkono ni kwa sababu tu ya uislam wa walio ingia mkataba huo yani Mh.Rais na kundi lake , na uarabu wa wawekezaji , hawana hoja nyingine hao waislam maamuma.
 
Sasa wewe mgalatia na akili zenu kubwa/nyingi kama msemavo serikali imesema unaupitia upya mkataba na kufanya marekebisho penye kadhia/makosa/mapungufu ugumu wa kuelewa uko wapi hapo,halafu nyie na akili zenu kubwa mbona bado nchi yenu hii ni masikini ombaomba na bado nyie wenyewe ombaomba na mafukara,halafu hiyo elimu ya kukaririshwa Kwa ajili ya kuoperate vitu vidogo mbona ni elimu finyu sana
 
Wapo waislam wenye akili nao wanapinga ila wengi wa wanao unga mkono ni kwa sababu tu ya uislam wa walio ingia mkataba huo yani Mh.Rais na kundi lake , na uarabu wa wawekezaji , hawana hoja nyingine hao waislam maamuma.
Sijaona kwenye maandiko yako ulisema wapi waislamu wenye akili wanapinga DP WORLD na badala yake unawajumuisha waislamu wote kua hawana elimu/akili lakini WAKRISTO wana akili sababu wanapinga DP WORLD,shida yenu nyie mnaopinga udini ndio WADINI wenyewe na WAHARIBIFU,Ila mnapandikiza mbegu mbaya sana,yaani hii DP WORLD mnaifanya ndio fimbo ya kumchapia Raisi huyu muislamu,sasa acheni Tu hao mnaowaita MASHEHE UMBWABWA wapate airtime
 
Tukutane 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…