Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Mbona viongozi wa dini ya upande wa pili ndio wanapinga zaidi hii issue? Jiulize hilo hilo swali ulilojiuliza,au kwa vile ni kampuni ya Dubai? Au kwa vile ni wa dini ingine?
Kwenye huo mkataba kina vifungu vya kiisilamu? Viongozi wanaopinga wanaweka bayana kabisa kuwa huo mkataba una mapungufu. Labda useme kuna vifungu vya kulinda uislamu, hivyo maaskofu wakiupinga moja kwa moja wanapinga uislamu.
 
Hili swala halina ubishi udini ni nje nje...time wl tell....maana kuna upande wanaona ndo time ya kustawisha dini yao...
DPW ina ajenda iliyojificha, ndio maana waislam wengi wanaunga mkono ujambazi huu.
Nchi hii ni yetu...
Sio ya Wavatican wala Waarabu.

Kutetea mrengo wa dini yako kuuziwa nchi ni upuuzi mkubwa
 
Hao viongozi wa dini wa upande wa pili na hao wa upande wenu wa kwanza, nani ambao wana elimu nzuri,waliolemikia na uelewa mzuri wa mambo!!??

Kwa mwenye elimu nzuri yeyote na aliyeelimika vyema na mwenye utimamu wa akili na uelewa mzuri wa mambo,kamwe hawezi kubaliana na huo upuuzi wa IGA.
Elimu ni kuzaliwa nao.Waweza soma usielimike.
 
Kwenye huo mkataba kina vifungu vya kiisilamu? Viongozi wanaopinga wanaweka bayana kabisa kuwa huo mkataba una mapungufu. Labda useme kuna vifungu vya kulinda uislamu, hivyo maaskofu wakiupinga moja kwa moja wanapinga uislamu.
Soma tena comment yangu uielewe,acha kukurupuka.
 
Siyo mashekh tu serikali ikicheka na hawa wote wanaoutumia uhuru vibaya kutukana Viongozi na kuongea kashfa itavuna mabua. Magufuli alikua na akili sana kuwadhibiti hawa wakina Tundu Lissu
Viongozi wanaingia madarakani kwa chaguzi za kishenzi wana heshima ipi? Kuingia madarakani kwa kupora chaguzi ni zaidi ya matusi. Magu alikuwa ni shetani katika umbile la binadamu. Hapa tunaongelea binadamu sio shetani.
 
Kwenye huo mkataba kina vifungu vya kiisilamu? Viongozi wanaopinga wanaweka bayana kabisa kuwa huo mkataba una mapungufu. Labda useme kuna vifungu vya kulinda uislamu, hivyo maaskofu wakiupinga moja kwa moja wanapinga uislamu.
Hawana hoja,wanapinga mkataba,usiwepo,bila kutizama faida yake kwa mtu wa hali yachini.
 
DPW ina ajenda iliyojificha, ndio maana waislam wengi wanaunga mkono ujambazi huu.
Nchi hii ni yetu...
Sio ya Wavatican wala Waarabu.

Kutetea mrengo wa dini yako kuuziwa nchi ni upuuzi mkubwa
Acha kulia lia,mnatetea majizi wa bandarini.
 
Rabbish kabisa... Mnakalilishwa quran, imeandikwa kiarabu na hamuelewi.. shule hamtaki.. mnategea mtakuwa sawasawa kweli kichwani?
Wewe si umekaririshwa kua mafuta ya upako na maji ya upako yanakupa utajiri hata bila kufanya kazi?

Huko Shule ndio walikufundisha kuandika Rabbish badala ya Rubbish?
 
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo

Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali

Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.

Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.

Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.

Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.

Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.

NAWASILISHA
Hao masheikh wakioewa hayo mikataba wanajua kuisoma na kuichambua au wasomewa tuu? Au wameshaisoma tayari ? Tuanzie hapo

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu?

Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
Kuna mengi ya kujifunza R.I.P JPM.
 
S
Mbona viongozi wa dini ya upande wa pili ndio wanapinga zaidi hii issue? Jiulize hilo hilo swali ulilojiuliza,au kwa vile ni kampuni ya Dubai? Au kwa vile ni wa dini ingine?
Siyo kweli, kwani haukusikia wazee wa kiislamu akiwemo shekhe Pondo nao walikosoa mkataba huo
 
Back
Top Bottom