Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Anafuatilia mechi ya Yanga na SimbaMpaka Sasa Msigwa Yuko kimya
Kwani Wakenya washarudi?Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Hao waliokwenda huko,walipelekwa na serekali?Nchi zina vita karibia miaka mia iliyopita,vipi unakwenda huko,si ndio ujinga wa akili.Serekali ingefungia kusafiri huko,pia mngelaumu.Usalama wa mtu yoyote,unaanza kwa mtu binafsi.Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Ila chadema chakavu Ina wafuasi madunduka aisee!! Kwahiyo unataka mamlaka za nchi zikurupuke kama nyie msio na kazi, sio?!!! Msiwe mabwege namna hiyo hata kama ni mabwege!Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Wee mpuuzi kweli, unawaza Kwa kutumia Makalio??.Ila chadema chakavu Ina wafuasi madunduka aisee!! Kwahiyo unataka mamlaka za nchi zikurupuke kama nyie msio na kazi, sio?!!! Msiwe mabwege namna hiyo hata kama ni mabwege!
Unatumia Matope au Makalio kuwaza na kuandika??.Hao waliokwenda huko,walipelekwa na serekali?Nchi zina vita karibia miaka mia iliyopita,vipi unakwenda huko,si ndio ujinga wa akili.Serekali ingefungia kusafiri huko,pia mngelaumu.Usalama wa mtu yoyote,unaanza kwa mtu binafsi.
Mpuuzi kabisaz hivi mkishakua Maccm Huwa mnawaza kwakutumia Makalio??.Kwani Wakenya washarudi?
Kama tu hawa waliomo ndani ya nchi wanauawa anasema kifo ni kifo, ndo atajali hao walioko nje kweli. Kwa sasa akili yake yote inawaza atabakije madarakaniMpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Serikali Iko bize kutafuta Gen z wanaoandika no Reforms No election ✌️Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Nani alikuambia kuwa serikali yetu ya kulazimisha inajali raia wake? Ingekuwa inajali maisha ya raia ingeua vijana wake wasio na hatia kama nzi? Yaani haijali maisha ya raia walioko ndani ndiyo ijali maisha ya walioko nje? Of course angekuwa dear Abdul, mtoto wa mama basi hata bunge lingejitokeza kama ilivyokuwa kwa yule ponjoro wa Kinondoni.Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Ungelijibu swali langu au ukakaa kimya usingelikuwa mpuuzi kama mimi.Mpuuzi kabisaz hivi mkishakua Maccm Huwa mnawaza kwakutumia Makalio??.
Mkuu, hii nchi Bado Ina watu wajinga mno sijui tutatokaje hapaUnatumia Matope au Makalio kuwaza na kuandika??.
Kwamba kwakua walienda ni juu yao, ila Pesa wanayoituma Tanzania Kujenga Nchi ni Tamu??.
Wewe mbweha ibirisi wa ccm ndiyo una Akili huko ccm? Kuwa na Akili ni kuwaonea watu?Akili ni kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo wakosoaji? Akili ni kuiba pesa za umma Kuzitumia kwa vitendo haramu vya kishetaniIla chadema chakavu Ina wafuasi madunduka aisee!! Kwahiyo unataka mamlaka za nchi zikurupuke kama nyie msio na kazi, sio?!!! Msiwe mabwege namna hiyo hata kama ni mabwege!