Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!

Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.

Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".

Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
hakuna haja kukurupuka wala kua na wasiwasi hata kidogo gentleman 🐒
 
Iran ndiyo kuna watanzania wengi huko sema ndiyo ngoma ngumu

Ova
 
Mambo mengine ya kujitakia tu; kwa hali ilivokua hadi last week bado huyu Mtanzania aliendelea kuona ni sahihi kuendelea kukaa Iran or Israel? Wengine wanajitakia wenyewe bwana
 
Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!

Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.

Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".

Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Ungetumia neno la staha ungekosa Nini? Ungesema nashauri serikali yetu ........
 
Wako busy na post za no reforms na utekaji ( vipaumbele vyao) kitaifa na kimataifa
 
Wee mpuuzi kweli, unawaza Kwa kutumia Makalio??.

Yaan wakati Serikali mbalimbali Duniani zikifanys jitihada juu ya watu waliotwama huko, bichwa lako la kiccm linakuambia, Serikali Haina chakufanya🤣🤣
Ndo maana nikasema nyie michadema chakavu ni midunduka sana msio na akil, Sasa unataka inachofanya serikali aelezwe chiba lissu huko selo?!!! Kama nani?!!!! Serikali Iko makini na Haina mihemko km wewe kima we!
 
Wewe mbweha ibirisi wa ccm ndiyo una Akili huko ccm? Kuwa na Akili ni kuwaonea watu?Akili ni kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo wakosoaji? Akili ni kuiba pesa za umma Kuzitumia kwa vitendo haramu vya kishetani
Ewe lishangazi mwenye mzigo wa maana, tunazungumzia usalama wa raia wetu waliopo Iran na Israel as far as kuchapana kwao kunahusika. Pumbaaavu
 
Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!

Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.

Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".

Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Walitumwa na nani huko!
Si bora ubaki Bongo wanatekwa wachache wengi wanafaidi amani tele
 
Back
Top Bottom