hakuna haja kukurupuka wala kua na wasiwasi hata kidogo gentleman 🐒Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Ungetumia neno la staha ungekosa Nini? Ungesema nashauri serikali yetu ........Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Ndo maana nikasema nyie michadema chakavu ni midunduka sana msio na akil, Sasa unataka inachofanya serikali aelezwe chiba lissu huko selo?!!! Kama nani?!!!! Serikali Iko makini na Haina mihemko km wewe kima we!Wee mpuuzi kweli, unawaza Kwa kutumia Makalio??.
Yaan wakati Serikali mbalimbali Duniani zikifanys jitihada juu ya watu waliotwama huko, bichwa lako la kiccm linakuambia, Serikali Haina chakufanya🤣🤣
Ewe lishangazi mwenye mzigo wa maana, tunazungumzia usalama wa raia wetu waliopo Iran na Israel as far as kuchapana kwao kunahusika. PumbaaavuWewe mbweha ibirisi wa ccm ndiyo una Akili huko ccm? Kuwa na Akili ni kuwaonea watu?Akili ni kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo wakosoaji? Akili ni kuiba pesa za umma Kuzitumia kwa vitendo haramu vya kishetani
Walitumwa na nani huko!Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!