Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

Simba ni timu kubwa walitakuwa kuwa na uwanja wao kama ule au kuzidi ule.

Pale mwenge ni prime area,kumfidia mtu kiwanja chake haipungui milioni 400.

Kwa size ya timu ya KMC ule uwanja unawatosha,hawana fanbase kubwa kihivyo
 
Simba ni timu kubwa walitakuwa kuwa na uwanja wao jama ule au kuzidi ule.

Pale mwenge ni orime area,kumfidia mtu kiwanja chake haipungui milioni 400.

Kwa size ya timu ya KMC ule uwanja unawatosha,hawana fanbase kubwa kihivyo
Sawa hawana fanbase lakini walijua mahitaji yapo kwa timu zingine na ni makubwa. Ungekuwa hata size ya Chamazi wakawa vizuri kwenye kuutafutia soko wangeweza hata kupata baadhi ya wateja ambao sasa wanakwenda kule Chamazi ikiwemo hizi timu za nje. Focus yao ilikuwa finyu sana kiasi kwamba wamejinyima fursa.
 
Nadhani ni ufinyu wa eneo nakumbuka ile ilimuwa open space tu sasa kujenga uwanja na parking eneo likaisha,may be sina uhakika
 
Sipo Dsm kwa sasa Ila Apo Mwenge nikiwa Dsm nitakuwa naenda pako vizuri ila Kwa Mkapa palikuwa Mafichoni alafu kule kwa wahuni sana.
Goba mpaka Mwenge ni chap kwa haraka
 
Uko wapi huo uwanja
Huo uwanja uko wapi?
 
Hili nalo mnataka kubishana...Temeke bana Wengi wanaoishi kule ni watu wa vipato vya chini kuliko wilaya zote Dar.
 
Nadhani ni ufinyu wa eneo nakumbuka ile ilimuwa open space tu sasa kujenga uwanja na parking eneo likaisha,may be sina uhakika
Simba wawaongezee nguvu zinunuliwe plot za pembeni yajengwe majukwaa makubwa. Nadhani hata mashabiki wa Simba wanaona convenience zaidi kwenda Mwenge kuliko Bunju.

Pia nadhani/nahisi Simba mpaka sasa hawajajenga uwanja kule Bunju kwa sababu wanataka uwanja mkubwa hawataki kuanza na uwanja wa size ndogo na kupata hiyo pesa inayohitajika ni kipengele. Wangelenga kujenga kama wa Chamazi au kama huu wa KMC ni jambo lililo ndani ya uwezo wa klabu kabisa.
 
Mwambie huyo naniliu
 
Mwambie mshamba huyo
 
Kaja Dar ndio anajifanya anajua..
Kinondoni kulikojaa mateja na machangudoaanakuona kwa wadtaarabu.
 
Uwanja wa Uhuru ni mali ya JWTZ na ni mahususi kwa shughuli za kijeshi.

Uwanja wa Mkapa ni mahususi kwa ajili ya michezo.
Uhuru tumeutumia sana kwa ajili ya michezo mpaka twrm ya kwanza ya utawala wa kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…