Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

Pale Mwenge ni eneo zuri kuweka uwanja shida uwanja ni mdogo. Mimi mwenyewe natakaga sana kwenda kucheki mechi ili nikifikiria usumbufu wa kufika kwa Mkapa au Chamazi naghairi, ila pale Mwenge chap tu.

Wakati wa ujenzi au design, Manispaa kama haikuwa na pesa za kutosha ingetafuta wadau ikiwemo Simba ingeongeza eneo pale kabla ya ujenzi wa uwanja huu ili kupata majukwaa makubwa zaidi. Ona leo watu kibao wamesimama. Hii haipendezi. Ina maana unaweza kununua tiketi ukakosa pa kupaa ukizingatia uwanja hauna siti una mabenchi ya mbao kwa hiyo capacity yake ni ya kukadiria.
Simba ni timu kubwa walitakuwa kuwa na uwanja wao kama ule au kuzidi ule.

Pale mwenge ni prime area,kumfidia mtu kiwanja chake haipungui milioni 400.

Kwa size ya timu ya KMC ule uwanja unawatosha,hawana fanbase kubwa kihivyo
 
Simba ni timu kubwa walitakuwa kuwa na uwanja wao jama ule au kuzidi ule.

Pale mwenge ni orime area,kumfidia mtu kiwanja chake haipungui milioni 400.

Kwa size ya timu ya KMC ule uwanja unawatosha,hawana fanbase kubwa kihivyo
Sawa hawana fanbase lakini walijua mahitaji yapo kwa timu zingine na ni makubwa. Ungekuwa hata size ya Chamazi wakawa vizuri kwenye kuutafutia soko wangeweza hata kupata baadhi ya wateja ambao sasa wanakwenda kule Chamazi ikiwemo hizi timu za nje. Focus yao ilikuwa finyu sana kiasi kwamba wamejinyima fursa.
 
Nadhani ni ufinyu wa eneo nakumbuka ile ilimuwa open space tu sasa kujenga uwanja na parking eneo likaisha,may be sina uhakika
 
Sipo Dsm kwa sasa Ila Apo Mwenge nikiwa Dsm nitakuwa naenda pako vizuri ila Kwa Mkapa palikuwa Mafichoni alafu kule kwa wahuni sana.
Goba mpaka Mwenge ni chap kwa haraka
 
Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Nkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa.

Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja, hatuna uhaba wa ardhi nchini,

Uwanja wa Mkapa ungejengwa Tanganyika Packers kwa Mwamposa.

Mimi binafsi huwa naenda uwanja wa Mkapa kwa matukio muhimu ya kiserikali, mechi ya mwisho na mwanzo kwenda ilikuwa Simba na Yanga ile sare ya 3-3 miaka takribani kumi.

Temeke kuna wahuni wengi sana na hawana uwezo kiuchumi, siwezi kutoka Ununio eti niende Taifa kuabgalia mechi ya Simba na Namungo.

KMC wametufungua macho, mpira sasa unapendwa na kada zote,wastaarabu na wasomi.

Uwanja wa KMC hata mechi ndogo ukiweka kiingilio cha 10000 unajaa.

Pia soma: Mapato ya uwanja wa Benjamini Mkapa ndiyo kikwazo kikubwa kwa mapacha wa Kariakoo kujenga uwanja wao

Jimbo la Kawe na Kinondoni ndio majimbo ya watu wenye uwezo hapa Daslam na Tanzania kwa ujumla. 10,000 kwa wakazi wa Temeke ni hela nyingi mno.

Hongera KMC, nawasihi Simba msirudi kwa Mkapa labda kwenye derby tu.huo ndio uwe uwanja wenu, kwanza Mwenge na Bunju sio mbali.

Haters mpooo
Uko wapi huo uwanja

Huo uwanja uko wapi?
 
kwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini au watu wa chini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk ni masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …
Hili nalo mnataka kubishana...Temeke bana Wengi wanaoishi kule ni watu wa vipato vya chini kuliko wilaya zote Dar.
 
Nadhani ni ufinyu wa eneo nakumbuka ile ilimuwa open space tu sasa kujenga uwanja na parking eneo likaisha,may be sina uhakika
Simba wawaongezee nguvu zinunuliwe plot za pembeni yajengwe majukwaa makubwa. Nadhani hata mashabiki wa Simba wanaona convenience zaidi kwenda Mwenge kuliko Bunju.

Pia nadhani/nahisi Simba mpaka sasa hawajajenga uwanja kule Bunju kwa sababu wanataka uwanja mkubwa hawataki kuanza na uwanja wa size ndogo na kupata hiyo pesa inayohitajika ni kipengele. Wangelenga kujenga kama wa Chamazi au kama huu wa KMC ni jambo lililo ndani ya uwezo wa klabu kabisa.
 
kwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini au watu wa chini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk ni masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …
Mwambie huyo naniliu
 
Mwambie mshamba huyo
 
Kaja Dar ndio anajifanya anajua..
Kinondoni kulikojaa mateja na machangudoaanakuona kwa wadtaarabu.
 
Uwanja wa Uhuru ni mali ya JWTZ na ni mahususi kwa shughuli za kijeshi.

Uwanja wa Mkapa ni mahususi kwa ajili ya michezo.
Uhuru tumeutumia sana kwa ajili ya michezo mpaka twrm ya kwanza ya utawala wa kikwete
 
Back
Top Bottom