Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

wenyeji. Baada ya mahangiko sana nilifaniķiwa kupata shamba la ekari mbili barabarani karibu na kiwanda cha wachina cha kutengeneza vigae pale kijiji cha Mkiu wilayani Mkuranga kama kilometa 110 kutoka Temeke. Kuna mhindi analitaka eneo langu kwa Tzs. 2 bilioni lakini nimemwambia mimi siliuzi nataka kuweka kiwanda cha maji ya kunywa.
hapo mkiu tena kibiti hakuna eneo lenye thamani ya bil 2 ,hivi bil 2 inaichukuliaje mzee?
 
Ukisoma mwandiko wake utajua tu kaja Dar ukubwani. Ukimweleza utamchanganya!
Tatizo upeo wako mdogo,hujaelewa mada unaleta historia ya temeke ya jabla ya uhuru,soma uzi vizuri uelewe,nimezaliwa mjini nitafia mjini nitazikwa mjini ,nchi ina vilaza sana hii mnajitungia majibu out of context stupid,soma uzi uelewe the theme
 
Nimekuja dar kutokea wapi,??mi ninezaliwa dar enzi hizo mzani uko ubungo stendi ya mkoa ikiwa kisutu na mnazi mmoja,sinema tukiendq avalon,new chox,empire,empress,drive in,cameo na star light,nimesomea mnazi mmoja primaryna Tambaza i,Temeke ni wilaya ibaongoza kwa wahuni na maisha duni,wahuni wa kinondoni na mwananyamala wana unafuu sana na n8 asilimia ndogo mno,we umeongelea kinondoni kama kata,mi naongelea temeke kama wilaya,ukitoa kijichi na chang'ombe hakuna sehemu naweza kuishi
Ulikuja na sasa upo kijini. Bado una stori za kizamani sasa braza. Mji umeshabadilika. Hapo zamani taifa ndio ilikuwa pembeni mwa mji huko Ununio kulikuwa kuna mashamba ya korosho na mpunga. Sasa hivi hapo taifa ni mjini tunaita CBD (mzingo wa kilometa 30 toka postal yote CBD) na hapo ulipojengwa unafikika kirahisi kuna highway,hakuna msongamano wa makazi ya watu.

Endelea kulima mpunga stori za mjini huzijui.
 
hapo mkiu tena kibiti hakuna eneo lenye thamani ya bil 2 ,hivi bil 2 inaichukuliaje mzee?
Kuna tofauti ya bei wakati mwenye eneo akitangaza analiuza na wakati mteja anataka eneo ambalo mmiliki haliuzi na wala hajatangaza kuuza. Ila mteja analitaka. Ndiyo maana mchangiaji mmoja amesema kuna waliokuja mjini hivi karibuni haya mambo hawayajui kabisa kama wewe usivyojua hili. Halafu usisahau mmiliki wa eneo hilo makazi yangu yako mjini Dar Temeke halafu ni mhuni kwa sasa niko Washington DC.
 
Nenda Tandale, kwa Tumbo, Mtogole, kwa alimaua uone umaskini ulivyokithiri, sasa sijui na hapo NI TMK?
Wahuni wa tandake na mwananyamala hawaondoi maana ya kwanba temeje ni shwari,kwa ufupi hayo maeneo ni ushenzini
 
Ulikuja na sasa upo kijini. Bado una stori za kizamani sasa braza. Mji umeshabadilika. Hapo zamani taifa ndio ilikuwa pembeni mwa mji huko Ununio kulikuwa kuna mashamba ya korosho na mpunga. Sasa hivi hapo taifa ni mjini tunaita CBD (mzingo wa kilometa 30 toka postal yote CBD) na hapo ulipojengwa unafikika kirahisi kuna highway,hakuna msongamano wa makazi ya watu.

Endelea kulima mpunga stori za mjini huzijui.
Ni watu wangapi wanaishi CBD,mwenge ina wakazi wengi kuliko CBD,watu hutokea najumbani kwenda mpirani hawatokei makazini,naijua Dar kuliko unavyodhani,niliwahi kuendesha ubber achilia mbali kuzaliwa kukulia Dar
 
Kumbe dreva wa Uber! Kwanza angalia inavyoandikwa! Hujui hata kuiandika! Bado una maziwa ya mama mdomoni! Hujui kula chapati kwa mchuzi! Hayo maneno uliwahi kuyasikia?
 
Back
Top Bottom