David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
hapo mkiu tena kibiti hakuna eneo lenye thamani ya bil 2 ,hivi bil 2 inaichukuliaje mzee?wenyeji. Baada ya mahangiko sana nilifaniķiwa kupata shamba la ekari mbili barabarani karibu na kiwanda cha wachina cha kutengeneza vigae pale kijiji cha Mkiu wilayani Mkuranga kama kilometa 110 kutoka Temeke. Kuna mhindi analitaka eneo langu kwa Tzs. 2 bilioni lakini nimemwambia mimi siliuzi nataka kuweka kiwanda cha maji ya kunywa.