Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Mbowe alistahili kuwa jera toka muda mrefu ila serikali imemtunzia siri zake nyingi sana hata yy anajua ila yuko kwenye mwamvuli wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwamba ukimgusa nchi mbalimbali zitaiandama Serikali lakini kwenye janga LA Corona alitenda kosa kubwa mnoo hasa alipowaamuru wabunge wa Chama chake kujifungia kwa kutokuheshimu mhimili wa bunge
Alichokifanya Mbowe kususia Bunge la Bajeti ni mapinduzi na nia ovu ya kutaka kuzuia uchaguzi mkuu kwa hofu ya kushindwa
Matukio mengi ya hovyo Mbowe amekuwa akiyafanya nchi hii likiwemo LA kupigwa risasi Tundu Lissu ili kuleta taharuki kwa sababu yy anajiamini dola imekunjua makucha kumuweka anapostahiki aivumilie dola ifanye kazi yake