NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
achomokiKumbe ndugu yetu una vielelezo? Basi wahi kupeleka TAKUKURU panaweza kuwa na ka mgao man.
achomokiKumbe ndugu yetu una vielelezo? Basi wahi kupeleka TAKUKURU panaweza kuwa na ka mgao man.
Mbowe anafaa kuwa jera tunasubili kazi ya PCCB nakaungane na maboss wa TFF
Kwa akili zako ndogo, hata hujui kuwa waliokuwa viongozi wa TFF walishatoka jela ? Na kumbe hujui zile kesi zilikuwa za kulipiza kisasi, kutoka utawala B kwenda utawala A!!! Poleni sana, maana kazi yenu ni kusubilia Jiwe ameagiza nini na nyie mshangilie.Mbowe anafaa kuwa jera tunasubili kazi ya PCCB nakaungane na maboss wa TFF