Serikali ilimtunzia heshima Mbowe hakuitunza, ilikuwaje ahutubie Taifa? alete mkanganyiko wakati wa Corona?

Serikali ilimtunzia heshima Mbowe hakuitunza, ilikuwaje ahutubie Taifa? alete mkanganyiko wakati wa Corona?

Mnapoteza muda na gharama kubwa sana ya kujijengea heshima kuleta maendeleo kwa kupambana na Mbowe/Chadema na akina Idris, Upinzani kamwe hamtoweza kuumaliza, jikiteni kwenye kuwaletea maendeleo wananchi acheni kisingizio cha mbowe ambaye HANA DOLA.
 
Hahaha jamani! Sa sijui kama tunaelewa maaana ya dola (mamlaka)

Naomba kujua mpaka sasa mbowe kaifanyaje dola mpaka kushindwa kufanya yafuatayo:-


1.kuboresha elimu

a) kujenga majengo ya utawala shule zote za kata

b)kuongeza madarasa ili kupunguza mlundikano wa wanafunzi madarasani

c)kuongeza vitabu vya kujisomea

d)kujenga computer rooms shule za kata

e)kuboresha maabara za shule za kata


2. Kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama

a) kujenga visima vya maji vijijn

b)kuboresha miumdo mbinu ya maji ili kusambaza maji mijini na vijijini mfano leo hii mwanza sehemu kubwa tu haina maji ya bomba, eg:- kahama, ilalila, masemele, na nk



3. Kuboresha hiduma za afya

a) kuhakikisha dawa zina patikana kwa wakati kwa wananchi

b) kuhakikisha vitanda vinawatosha wagonjwa

c) kuhakikisha hospitali zote za wilaya zina vifaa vya kisasa kutibu wagonjw mbali mbali

d) upatikanaji wa bima kwa wazee zinazo fanya kazi


4.kuboresha shughuli za kilimo na biashara kwa wakulima na wafanya biashara ndogo ndogo

a) kuhakikisha mazao ya wakulima yana uzika kwa wakati na kwa faida

b) kuhakikisha masoko ya mtaa, kata na wilaya yanaboreshwa kuwa ya kisasa na kuwa safi

c) Kuhakikisha mamalishe wanapata maeneo safi, ya kisasa na salama kwa biashara zao

d) kuhakikisha machinga wanapata maeno ya kisasa mijini na kufanya biashara kwa amani

e) kuvutia uwekzaji wa viwanda vya teknolojia na kilimo

5.kuboresha utawala bora

a) uwazi na uwajibikaji

Naweza kujua mboe kakwamishaje hayo??
Upo dunia gani unaongea vitu vya ajabu hivi? Vyote vimefanyika hivyo unavyolopoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbowe ni mtu wa ajabu sana.analazimisha kuvunja sheria ili akamatwe iwesababu ya kupata umaarufu wa kisiasa.
hovyo kabisa huyu jamaa,jinga kabisa tena
 
Mbowe alistahili kuwa jera toka muda mrefu ila serikali imemtunzia siri zake nyingi sana hata yy anajua ila yuko kwenye mwamvuli wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwamba ukimgusa nchi mbalimbali zitaiandama Serikali lakini kwenye janga LA Corona alitenda kosa kubwa mnoo hasa alipowaamuru wabunge wa Chama chake kujifungia kwa kutokuheshimu mhimili wa bunge


Alichokifanya Mbowe kususia Bunge la Bajeti ni mapinduzi na nia ovu ya kutaka kuzuia uchaguzi mkuu kwa hofu ya kushindwa

Matukio mengi ya hovyo Mbowe amekuwa akiyafanya nchi hii likiwemo LA kupigwa risasi Tundu Lissu ili kuleta taharuki kwa sababu yy anajiamini dola imekunjua makucha kumuweka anapostahiki aivumilie dola ifanye kazi yake
Hivi ukirudi nyuma na kusoma ulichokiandika halafu ujifanye siyo wewe uliyeandika, huyo mwandishi utamweka kwenye kundi gani kati ya haya yafuatayo?
1. Alikimbia elimu ya msingi
2. Ni kibaka wa mitaani
3. Hajui atendalo
4. Akili imeviria
5. Hajui kufikiri
 
Mbowe alistahili kuwa jera toka muda mrefu ila serikali imemtunzia siri zake nyingi sana hata yy anajua ila yuko kwenye mwamvuli wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwamba ukimgusa nchi mbalimbali zitaiandama Serikali lakini kwenye janga LA Corona alitenda kosa kubwa mnoo hasa alipowaamuru wabunge wa Chama chake kujifungia kwa kutokuheshimu mhimili wa bunge


Alichokifanya Mbowe kususia Bunge la Bajeti ni mapinduzi na nia ovu ya kutaka kuzuia uchaguzi mkuu kwa hofu ya kushindwa

Matukio mengi ya hovyo Mbowe amekuwa akiyafanya nchi hii likiwemo LA kupigwa risasi Tundu Lissu ili kuleta taharuki kwa sababu yy anajiamini dola imekunjua makucha kumuweka anapostahiki aivumilie dola ifanye kazi yake
Ujinga umetamalaki mwaka huu. Naona vijana wa Lumumba mmejipanga mstari mnashindana kuhara uchafu
 
Kuna watu humu lisaa likipita kama hawajamtaja mbowe kwenye midomo yao buku saba zao huko lumumba zina undergo wear and tear
 
mbowe aliagiza vijana wa bavicha waende wakamtoe kwanguvu sero.walichokipata wale vijana watasimulia kizazi chao.
Hoja za kuvuta muda mkiwa mnasubiri bk7, kijiweni lumumba. Halafu mmekuwa wengi sasa hivi.
 
Yan nikiwaangalia kina mbowe wanayo yafanya alafu bado wapo uraiani nasema hakika serekal ya Tanzania ni Mama Yani watu wanafanya uhain nje nje
 
Nchi maskini tu ndo utaona wahuni wako mjengoni wakivinjari, yule illiterate DJ hajulikani kasoma wapi ni mwizi wa ruzuku za Ufipa, uhuni wa VIP room night club kaupeleka kwenye jukwaa la siasa na mjengoni kuhujumu uchumi, yule illiterate DJ na zana za kilimo ZZK ni wa kutupa jela waozee huko wanatuharibia nchi nzima kwa upupu wao na sifa za kusema uongo Aljazeera ili wajulikane duniani! shame on them!!
 
Back
Top Bottom