Serikali ilipobariki mchezo wa Kuteka na kupoteza wakosoaji, Wahuni nao wakaona hii ndiyo nafasi

Duh,
Kama kukiwa na kundi lingine tofauti na vyombo vya dola itakuwa ni hatari zaidi.

Je, watakuwa wanateka kwa niaba ya nani na kwa malengo gani?
ULizq leo South africa ni watu wangapi wanatekwa kila siku, huko imefikia mahali kumteka mtu ni kama tu kukwapua simu, ni jambo la kawaida sana, sasa tusiombe hawa wahuni wa kwetu nao waka advance na kuwa proffesional kidnapers, tutakwisha, hata hivyo, kuna watu ambao labda wapo kwenye moja ya vyombo vya dola wanaotumia gap hiyo kufanya mishe zao binafsi za utekaji,na hao ni hatari zaidi, maana wakiona kuna hatari ya kuwa exposed wanaweza kumuua victim kabisa ili kupoteza ushahidi, its so bad though!
 
Lakini kwa hiyo ni official kwamba kuna hiyo task force ambayo kazi yake ndiyo hiyo ya kuteka watu?
 
Wewe ukipigiwa mkeo utamteka mgoni wako na kumuuwa au kumfanyia kama ya akina Nyundo? 🐼
 
Waanzilishi wa mchezo huu ni CCM na awamu ya 5 na unawatesa kweli kweli.
 
Sijawahi kusikia Serikali ikitoa Baraka kwa Utekaji
Ni ajabu kwa serikali (imara) ya kidikteta kutumia mkakati wa vurugu (anarchy) kujiimarisha madarakani.

Anarchists kawaida ni anti-government.

Yajayo yanafurahisha.😎
 
Haya mambo ya kutekana ni ushamba...na hii ni hatari sana maana km tusipo piga kelele haya mambo yaishe huko tuendako ni kubaya sana maana hakuna atakaye kua salama.Nashangaa serikali kama iko kimya kwa swala hili.
Kibiti tulipiga kelele sana mambo haya yakakomeshwa sasa hili mbona limekua sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…