Tatizo sio baraka, shida ilipo ni kwamba hata wewe unaweza kuteka mtu ukampoteza(sababu za kufanya hivyo ni zako binafsi)
mtu huyo uliye mteka na kumpoteza kama ana julikana alikuwa anatoa kauli za kupinga mienendo ovu ya serikali, basi polisi hawata jihusisha na hiyo kesi wakizani ni kikosi kazi chao ndio kimetekeleza hiyo mission.
Point ya msingi ni kwamba mtu mwenye nia ovu anaweza take advantage ya watu kupote halafu polisi wako kimya.
mfano kama mdude akiwa anakupigia mke wako, mkimpoteza wewe binafsi Polisi wala hawata jihangaisha na wewe watajua tu ni task force imefanya yao.
Ni jukumu la polisi kulinda usalama wa watu wote hata kama watu hao ni wahalifu.