DOKEZO Serikali imchunguze Mwalimu huyu wa Shule ya Mandimu (Singida), matendo yake ni tishio kwa Wanafunzi

DOKEZO Serikali imchunguze Mwalimu huyu wa Shule ya Mandimu (Singida), matendo yake ni tishio kwa Wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
Ngoja mleta mada a confirm majina ya huyo anayejiita mwalimu mkuu asiyejitambua kama kweli haya ndiyo majina yake halisi tutashughulika naye ipasavyo na majibu yataletwa humu humu jukwaani.

Mleta mada tafadhali confirm majina halisi ya mwalimu mkuu wa shule husika kama ndiyo haya yaliyowekwa hapa ili tuanze kwa wakuu wake wamchukulie hatua stahiki maana hajui code of conduct and ethics za profession yake sijui ni mhuni wa wapi amepewa nafasi kama hii.
 
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
Mkuu hebu weka picha yako hapa ili mleta mada aweze kukutambua kwa wepesi maana kama ni majina tayari ume disclose hivyo hata ukiambatanisha na picha haitaathiri chochote.
 
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
Au unaweza kumtumia picha yako mleta mada PM ili a confirm kama ni mhusika anayetuhumiwa then ataleta mrejesho humu wahusika waanze kukushughulikia kukufunza maadili ya kazi yako huenda huko vyuo vya ualimu hukuelewa chochote.

Akithibitisha ni wewe basi nikuhakikishie tu hatua zitachukuliwa na ujiandae kisaikolojia.

Tusije tukawa tunahangaika na mhuni mmoja anayejivika uhusika wa mwingine tukapoteza rasilimali muda na fedha.
 
Mambo ya kijinga... hicho kijiji hakina wanaume?
Lwamba mtu mmoja ndo anawaendesha hivyo??
Hovyo kabisa
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Aisee umetaja Ikungi....enzi zetu tulikuwa tunapaki lori hapo tunapata wali kuku....ukisikia WALI KUKU means Ikungi..
 
Kama ni kweli basi namshauri mwalimu huyo aache tabia hiyo.

Zama zimebadilika, kwa sasa watu wanapigana na maisha ili kutimiza ndoto zao.

Ukiona mtoto anafanya yasiyofaa ukamuonya kwa mdomo akaendelea na tabia isiyofaa, achana naye hilo ni jukumu la mzazi wake na ulimwengu.
KAMA NI KWELI...unaweza kukuta ni ugomvi wa videmu au hayo maeneo anayofatilia....Duniani kuna FITNA...watu wanajua kutengeneza mambo.....
 
Nicheki PM ili tupeane contact kuna taarifa nazihitaji ili huyu mpuuzi anapochukuliwa hatua iwe fundisho kwa wapuuzi wengine wasiojitambua kama huyu.

Unajua kuna watu wamefika hapo walipo sio kwa uwezo wao wa kitaaluma bali aidha kwa njia za kishirikina ama kuhonga baadhi ya watu wasio waaminifu ili wapewe nafasi fulani.

Katika mtazamo wa kawaida hakuna mwalimu mkuu ama mwalimu yeyote mwenye akili timamu aliyekaa chuoni akafundishwa maadili ya kazi yake halafu akaja kutenda kinyume na alichofundishwa.

Vinginevyo awe na shida ya akili hapo nitaelewa. Na kama ana shida ya akili basi aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo kwakuwa kigezo kimojawapo cha mtu kuwa mtumishi wa umma ni awe na akili timamu.
Wewe kama utakuwa ni kiongozi, basi utakuwa una mapungufu makubwa sana. Maana una mihemko mpaka basi!! Mimi nadhani hutakiwi kufika kwenye hitimisho kwa taarifa ya kusikia; yaani hear say, rumour, or gossips!!
Kwanza mtoa mada anaonesha taarifa yote amesimuliwa! Na hakuna mahali alionesha kuguswa na kwenda mpaka kwenye hiyo shule na kufanya uchunguzi wa kina! Halafu na wewe pia umeangukia kwenye mtego ule ule!!

Kwa nini usijiongeze kwenda kwenye hiyo shule kufanya uchunguzi, kwa kuwahoji wahusika wote ili upate majibu sahihi! Yaani kuanzia huyu mwalimu mkuu, walimu wote wa shule husika, baadhi ya wanafunzi wa hiyo shule, baadhi ya wazazi wa hiyo shule, nk!!
 
Anategwa mtu hapo wewe hujaelewa?
 
Safi sana mwalimu. Ila kupitia hizi shutuma, huna budi sasa kuchukua tahadhari mapema ili kuepukana na majungu.

Kiufupi Walimu wa shule za kata mnapitia majaribu mengi sana. Maana mnatakiwa kufaulisha watoto walioshindikana na wenye uwezo mdogo! Na wakati huo huo mkitumia njia mbalimbali za kuwanyoosha, mnaingia tena kwenye 18 za hawa wazushi wanaojifanya ni watetezi wa haki za binadamu.
Ukitaka kumtawala binadamu mnyime elimu anataka awe mtawala siku zote huo ni ubinafsi
 
Kama hatafuni wanafunzi acheni tu awachape viboko vya kutosha akili ziwakae vema wanafunzi hao. Wazazi Viherehere nao wazabatuliwe makofi tu mpaka washike adabu kuzoea walimu vibaya. Heko mwalimu kwa vitendo hivyo, hatulei ujinga
 
Mkuu hebu weka picha yako hapa ili mleta mada aweze kukutambua kwa wepesi maana kama ni majina tayari ume disclose hivyo hata ukiambatanisha na picha haitaathiri chochote.

Nahisi harufu ya chuki binafsi
Ndivyo ilivyo nimesha kaa na wazazi nimewasomea nnachotuhumiwa nacho hata wao hawakijui
Nitarejea nikiwa imara baada ya kuchafuliwa kiasi hiki
 
Au unaweza kumtumia picha yako mleta mada PM ili a confirm kama ni mhusika anayetuhumiwa then ataleta mrejesho humu wahusika waanze kukushughulikia kukufunza maadili ya kazi yako huenda huko vyuo vya ualimu hukuelewa chochote.

Akithibitisha ni wewe basi nikuhakikishie tu hatua zitachukuliwa na ujiandae kisaikolojia.

Tusije tukawa tunahangaika na mhuni mmoja anayejivika uhusika wa mwingine tukapoteza rasilimali muda na fedha.
Ni mimi mwenyewe kaka
 
Attachments

  • 20240818_124738.jpg
    20240818_124738.jpg
    357.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1723302323701.jpg
    FB_IMG_1723302323701.jpg
    34.3 KB · Views: 3
  • 20240805_103552.jpg
    20240805_103552.jpg
    586.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom